Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
Sasa wakati umewadia ili FBI waje kufanya uchunguzi wa Azory Gwanda Ben Tundu Lissu na wengune wengi waliofanyiwa ukatili na CCM
Sisi kama Taifa tumeshindwa kabisa na Polisi walishakiri kuwa hawawajui hao wasuojulikana
Wenzetu wana utu, sio wa kwetu hawa ndugu zake Ibilisi.
Amina, ngoje utasikia kina pole pole na wenzake makasuku vile watasema huyu balozi afurushwe toka tzMungu wabariki Wazungu
kweli kabisa mkuuNgoja wanakwaya waje hapa, [emoji28][emoji28][emoji28] ntazima data hadi kesho, hawachelewi kusema wanaingiliwa mambo ya ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
inakuhusu nini??? wewe umeenda kuwatembelea au ni kuropoka tu hapa unaropokaNiulize swali kwanza, hivi alishaendaga kusalimia pia wajane wa marehem waliouwa kibiti na magaidi?
Mpelekeni kwa mke wa kamanda mawazo au yeye si binadamu?Kaimu Balozi ukimwangalia usoni kuna ujumbe munene unasomeka
Ameogopa Amemuonea huruma sana huyu mama Ameumia sana
Majibu tutayapata siku za usoni
** Journalist Kabendera yupo BBC News leo
Acha tuzidi kuchanga karata karibu tunaokota galasa
Niulize swali kwanza, hivi alishaendaga kusalimia pia wajane wa marehem waliouwa kibiti na magaidi?
Huyo azori hakuna anaejua yuko wapi labda alitekwa na magaidi au alikimbia nao kwenda huko kwao maana hakuna wakulaumiwa hapo na police uczani imelala bado inafatiriaMimi nakosa kuelewa uhusiano hapo. Kulikuwa na mauaji/ ugaidi maeneo ya kibiti sawa. Lakini je, yeye Azory Gwanda alihusika na kipi hasa mpaka watu 'wasiojulikana' kwa jinsi tujuavyo sisi / Mimi wampoteze? Au alikuwa mwandishi halafu akawa anashirikiana na magaidi? Interest ya 'wasiojulikana' ni IPI kwa mwandishi wa habari wa kawaida?
Pole sana dogo.
Naam mkuuWenzetu wana utu, sio wa kwetu hawa ndugu zake Ibilisi.