Mke wa Mwandishi wa Habari Azory Gwanda Kutembelewa na Kaimu balozi wa Marekani

Hapo kuna ushindi gani kwa mtu aliyepotezwa kuuliziwa? Au unafahamu lolote? Mana kwa hali ya kawaida ya ubinadamu hata wew ulitakiwa ulifikirie hili. What a waste!!
Kinachofurahisha sana kuhusu harakati za Nyumbu ni kuwa hiki nacho kinaonekana ushindi kwao..what a waste!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Damu ya hatia hawa magaidi itawalilia hadi mwisho wa maisha yao japo wanna kila kitu wamenyimwa furaha ya moyo ndio utajiri namba moja.
 
Sasa wakati umewadia ili FBI waje kufanya uchunguzi wa Azory Gwanda Ben Tundu Kissu na wengine wengi waliofanyiwa ukatili na CCM

Sisi kama Taifa kumeshindwa kabisa na Polisi walishakiri kuwa hawawajui hao wasuojulikana
Zitafanyika mbeleni huko siku zaja technology utunza historia.Peves Musharaafu ,bashiru nae kahukumiwa kifo sio kwa makosa ya Jana bali ya juzi.
 
Afukuzwe kwa kwenda kumuona mjane, what a silly mental work.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo hukumu yake ikawa kupotezwa, ndivyo sheria zetu zinavyosema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huenda alikuwa anashirikiana na magaidi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akitoka kwa mama Azori aende na kwafamilia za wana ccm ambao waume zao walikatwa vichwa huko kibiti bila kusahau familia za maaskari waliopigwa risasi wakitulinda sisi laia huko kibiti, asikomee kwa huyo mama tu.
Wewe umekwenda, mbona unapenda kutuma wakubwa zako hivyo, adabu za wapi hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo azori hakuna anaejua yuko wapi labda alitekwa na magaidi au alikimbia nao kwenda huko kwao maana hakuna wakulaumiwa hapo na police uczani imelala bado inafatiria
Kauli yako inapingana na mwenzako Babarosa, yeye anasema ilibidi ashughulikiwe kama magaidi walivyoshughulikiwa, hamkukaa kikao cha jinsi ya kujibu hapa JF?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…