GE2025 Mke wa Naibu Waziri, Dkt. Mollel (CCM) adaiwa kutekwa; Mgombea Udiwani ashambuliwa...

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
***** na bado, ccm ni janga la taifa
 
Ccm wameleana fujo wenyewe kwa wenyewe sehemu nyingi nchini kwenye huu upigaji wa kura wao, wanachuana vibaya wenyewe kwa wenyewe. Sasa kama hali ndio hii uchaguzi mkuu utakuaje? ACT na CHAUMA si ndio watageuzwa asusa wasipate diwani na mbunge hata mmoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…