Mke wa ndoa anaposema maneno haya anamanisha nini ?

Mpe sumu hakufaiiiii
 
Pengine jamii zinatofautiana pia huwez jua...wachaga wako wengi wa jamii tofaut tofaut...
 
Hapo pa kuficha wasijue umenikosha sana maana wenzako unampa hela alipe yeye ana mwambia mtoto kuwa unaona ninavyokupenda sana ndiyo maana Natoa mamillion kukusomesha.

haaha akiwa mkubwa anamjali maza tu lol
 
mapenzi yametofautiana sana sana..sijui lakini kila mtu na jicho lake...!unaweza piga mbupu fdaily ht huko kilelen asifike..unaweza piga mbupu daily akafika akaenjoy ila kuna sehem ukapwaya
Mwanamke asipokuwa na feelings nawe hata upige tangu asubuhi hadi kesho hafiki kileleni. Lakini mwanamke anayekupenda hata kuingiza kichwa tu huyo anakojoa!
 
Simamia majukum yako kama baba wa familia, hakikisha watoto wanapata elim, lishe nzuri, makazi bora na mahitaji mengine ya muhimu.

Kuhusu huduma ndogo ndogo unazo hitaji wewe jihudumie mwenyewe, ukiona ratiba yako inakubana au huwezi kumudu hilo ajili house grl,

Kuhusu huduma ya tendo hiyo ni haki yako kupewa na ukinyimwa tumia nguvu yoyote ile kuidai ukiona inafaa kufanya hivyo, ila timiza kwanza wajibu wako kama mume isiwe unatumia nguvu kudai haki zako wakati wewe hutimizi wajibu wako.

Inawezekana malengo ya kuoa kwako ndio yanayo kutesa, huenda uliamini mke ni msaidiz kwako ki uchumi na ktk jitihada za kufikia malengo ktk maisha.
Wewe ndio msaada kwake yeye hana jukum zaid ya kukupa stareh na ushauri ikiwa utauhitaji.
Mengineyo zaid ya hayo ukiona mwanamke anafanya ujue ni kwa mapenz yake tu na si jambo la lazima kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…