Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika kama walishirikiana au la!!!?baba yake na mama yake walimleaje na kumsomesha bila kushirikiana na kuwa mwili mmoja asingefika hapo alipo
Samahani,yupi?
Hapo kwenye kumuamini ndugu umepotoka, ikiwa unawaamini Wanasiasa basi Mwamini na Mwanamke vile vile. Hawana tofautiTatizo sijui kwa vile namwmini sana coz nilianza nae akiwa mdogo kabisa akiwa hajawahi kuwa na mwanaume so nitakuwa najidanganya kumwanamini hawezi kuwa na mwanaume mwingine according na anavyokuwaga busy na mambo yake na anavyojiweka na huwa ananiambiaga hana jipya LA kutafuta kwenye sex
ulihis kafa!Samahani,
Yule mumeoo
Dah.....ulihis kafa!
niko kwenye ndoa lakini nimesisimka hayo maneno. kwanza mimi ni muumini wa mfumo dume huwa sisaidii kazi yeyote nyumbani. kazi yangu moja tuu kuhudumia familia
Ndugu kama hujui majukumu yako nakushauri usioe ila kama unajua basi ndoa ni rahisi.Wazee,
Mnazidi kunitisha aisee,
Walah ndoa kwangu mwikoooooooo!!
Dah.....wahiyo, naomba niulize....mwanamke wa siku hizi ana umuhimu gani kwa mwanaume hadi aje amuweke ndani kama mkewe?!Sijui nisemaje lakini kukunyima mshahara wake ni haki yake ....pesa za mwanamke ni za kwake yeye mwenyew ..kama ataamua kukusaidia majukumu sawa vinginevyo hutakiwi kuzipangia matumizi zile ni zake....kakwambia kweli kasomeshwa na wazazi wake ili awafae baadae hakusomeshwa sababu nyingine ....kingineee kupeleka maji bafuni sio kazi yake labda aamue kukupelekea kwa mapenzi yake tu .....kufua pia labda aamue kukufulia kwa mapenzi tu vinginevyo tafuta dobi ...samahani kama utakwazika lakini habari ndiyo hiyo
Somesha wanao usimtegemee yeye wewe ndie kichwa na kiongozi wa familia
LAZIMAHUYO MKEO NI MCHAGGA?
Bora umenisaidia kuwaulizaMambo mengine bwana; kwahiyo mkifanya wote usafi huku mnapiga soga na mkeo, p*mb* zinanyofoka?
Mungu ndiye alisema kazi ya mwanamke ni kufua na kukupelekea maji bafuni?Dah.....wahiyo, naomba niulize....mwanamke wa siku hizi ana umuhimu gani kwa mwanaume hadi aje amuweke ndani kama mkewe?!
Maana kama ni mtoto naweza kwenda lipa kahaba anipe mtoto kisha nikaendelea kulea mtoto wangu bila huyo kahaba....
Unajua jamii sasa hivi badala ya kumsimamisha mtoto katika role yake ya kike, wanakazana kumfanya mtoto wa kike awe na haiba ya kiume yaani "masculinization of the feminine"....
Hii kitu ina haribu ile natural balance ya gender roles.....ni kama tuna msahihisha MUNGU kuwa alikosea kuumba wanawake na wanaume.....
Huu ujinga uishie 2018......
HahahahahahaNdugu kama hujui majukumu yako nakushauri usioe ila kama unajua basi ndoa ni rahisi.
Mwanaume ambaye hataki presha nyumbani ni yule mwenye bidii basi.
Hata watoto watampenda sasa miaka 10 ah 15 mko pale pale mnapanga sasa unazania mwanamke heshima iko wapi hapo ila mmekaa miaka 5 tu umeanza kujenga na sio kazi unayo tu na biashara ingine pia unayo.
So unadhaniaje si atakuheshimu hata akianza swaga za madharau ukimkanya anaaacha.
So mjipange ndio muoe hata ndoa ni uwe na mikakati au mipango baada ya miaka fulani utakuwa na house au utakuwa na biashara gari nini sio unaongea tu.
Mwanamke matako ya familia watoto miguu ya familia