Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Simamia majukum yako kama baba wa familia, hakikisha watoto wanapata elim, lishe nzuri, makazi bora na mahitaji mengine ya muhimu.
Kuhusu huduma ndogo ndogo unazo hitaji wewe jihudumie mwenyewe, ukiona ratiba yako inakubana au huwezi kumudu hilo ajili house grl,
Kuhusu huduma ya tendo hiyo ni haki yako kupewa na ukinyimwa tumia nguvu yoyote ile kuidai ukiona inafaa kufanya hivyo, ila timiza kwanza wajibu wako kama mume isiwe unatumia nguvu kudai haki zako wakati wewe hutimizi wajibu wako.
Inawezekana malengo ya kuoa kwako ndio yanayo kutesa, huenda uliamini mke ni msaidiz kwako ki uchumi na ktk jitihada za kufikia malengo ktk maisha.
Wewe ndio msaada kwake yeye hana jukum zaid ya kukupa stareh na ushauri ikiwa utauhitaji.
Mengineyo zaid ya hayo ukiona mwanamke anafanya ujue ni kwa mapenz yake tu na si jambo la lazima kwake.
Best advice ever!
Blessed to come across your comment!