Mke wa ndoa anaposema maneno haya anamanisha nini ?

Mke wa ndoa anaposema maneno haya anamanisha nini ?

ZURIELI ZURIELI ZURIELI NI BONGE LA MKE MWEMA(WIFE MATERIALS)

Nimejaribu kufatilia jumbe za Watu mbali mbali katika huu uzi na kukuta Wanawake waliochangia humu ni 90% siyo WAKE WEMA tokana na jinsi walivyokuwa wakitoa mawazo yao humu.

Mungu kasema Mwanaume ni Kichwa katika familia(Mtawala/Kiongozi mkuu) katika kutekeleza na kusimamia majukumu mbali mbali ndani ya familia.

Mungu kamuumba Mwanamke kuwa msaidizi wa kufanana wa Mwanaume akimaanisha ili Mwanaume akamilike kunatakiwa misaada kadhaa toka kwa Mke wake, yani kwa ushauri mzuri na kufanya kazi ndogo ndogo katika kuiboresha familia.

"ASIYEFANYA KAZI NA ASILE" Binadamu yeyote hawezi kuishi kwa kukaa tu bila ya kujishughulisha na chochote kimaisha kisha akaendelea kuwa vizuri kiakili, kiupeo wa baadaye na kiafya, kama mimi ni mwongo tuwaulize vizuri wale Babu zetu waliishi vipi na Mama zetu katika ndoa na kwanini ndoa zao zilidumu sana kuliko hizi ndoa zetu za karne hii ya 21?

METHALI 31 SURA NZIMA KATIKA BIBLIA.
Ukiisoma hiyo vzr utagundua kuwa Mke anapaswa kufanya kazi ndogo ndogo ili kuhakikisha familia yake(Mumewe na Watoto wake) inapata matunda mema yaliyopandikizwa kwa pande zote mbili(Mume & Mke) japo Mume atapaswa kuwa juu angalau kwa 70%-75% katika kuhakikisha maisha yanaenda vizuri sababu Kichwa bila kiwiliwili bado hapajafanyika kiumbe kikamilifu(hai).

Nchi za magharibi(USA & ULAYA) ndizo zinazoongoza katika kuvunjika kwa ndoa nyingi sana kwa talaka nyingi hadi kupelekea kufunga ndoa kwa mikataba.

Tunajifunza nini toka huko nchi za magharibi? "Mafahali wawili hawawezi kukaa zizi moja wakaelewana vizuri pasipo ugomvi" yani ili kuwepo na maelewano mazuri katika mahusiano yoyote yale katika ndoa tunapaswa kutegemeana kwa kushauriana(Mwanamke mwema hutumika sana katika hili) na kuchukua maamuzi thabiti(nafasi ya Mume).

Tofauti na hayo yote, nimegundua kwanini Wanaume wengi leo hii huogopa kuoa Wanawake maana HAKI SAWA ni shetani aliyejipandikiza katika ndoa kimya kimya akijichanua kwa kasi sana ili ndoa nyingi zivunjike.

HITIMISHO:

WANAWAKE WATIINI SANA WAUME ZENU & WANAUME WAPENDENI SANA WAKE ZENU.
 
Binafs tangu nilivyosoma jana nimekufikiria sana Mwanaume mwenzangu nikawa najiuliza maswali kadhaa sijapata majibu mpaka leo nikauvaa uhusika wako.
1. Huo ubavu wa kunijibu hovyo angeutoa wapi kwangu.
2. Bafuni nikapaandae mwenyewe na yeye yupo!
3. Kufua nijifulie mwenyewe pamoja na kupiga pasi!
4. Pesa yake nisingekuwa na tym nayo

Mimi huyu, hiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!?
 
Kamanda, pamoja na ushauri wa watu wengine humu ndani. Kwanza unapaswa kupata jibu sahihi kwanini amebadilika kiasi hicho, ni nini kipo nyuma yake marafiki , makundi au nani?
Pili, baada kufanya uchunguzi wako kaa naye chini ujadili naye way forward anayotaka, then angalia kama yatakuwa na faida kwa familia na ndoa yenu. Kisha fanya maamuzi.
Naamini hana bwana.

Tatu acha kuhusisha pesa yake katika matumizi. Fanya kila kitu pesa yako, ikitokea pesa imepungua liache hilo jambo usimwambie akupe pesa ila fanya ajue kwamba hili halikufanyika kwa sababu no salio.

" Wanawake hawahitaji Demokrasia"
 
Yeah, Ila Asikae Kimya Afanye Uchunguzi Maana Akifanyia Masihara Ndoa Yaweza Kufa.
hii ndoa tayari inaning'inia kwenye uzi mwembaba sana....ila haya mambo yapo....ni kukaa na wazoefu na watu wenye busara wamsaidie mawazo sahihi
 
Kamanda, pamoja na ushauri wa watu wengine humu ndani. Kwanza unapaswa kupata jibu sahihi kwanini amebadilika kiasi hicho, ni nini kipo nyuma yake marafiki , makundi au nani?
Pili, baada kufanya uchunguzi wako kaa naye chini ujadili naye way forward anayotaka, then angalia kama yatakuwa na faida kwa familia na ndoa yenu. Kisha fanya maamuzi.
Naamini hana bwana.

Tatu acha kuhusisha pesa yake katika matumizi. Fanya kila kitu pesa yako, ikitokea pesa imepungua liache hilo jambo usimwambie akupe pesa ila fanya ajue kwamba hili halikufanyika kwa sababu no salio.

" Wanawake hawahitaji Demokrasia"
umeongea mambo ya msingi sana .....nadhani hili ni tatizo kubwa tulilonalo hi karne ya kisasa....wanawake sio washikaji zetu wala masela.....umeamua kuingia kwenye ndoa kama mume manaake ni umeamua kubeba mizigo ya wategemezi wako.....ikitokea kakusaidia iwe ni kwa mapenzi yake tuu...lakini yeye hana jukumu hilo as far as GOD (muasisi wa ndoa) na the law of man are of concern
 
subiria tu na ujiandae siku atakapokuambia hata hao watoto wewe sio baba yao wa damu.
 
nimesomeshwa na wazazi wangu kwa ajili ya faida yao na siyo kwako na matoto yako kwa ujue utawapeleka vipi matoto yako shule pesa yangu achana nayo kabisa kama unataka uje uniombe

Hio mentality ni mbaya sana sana sana saaaaana... Ukiona mwanamke hataki pesa yake itumike kwa watoto wake huyo ni hawa new version..

USHAURI: Mkuu mchawi wa ndoa yako lazima yupo, fanya uchunguzi lazima utagundua chanzo cha hayo mabadiliko
Halafu hiyo kumsaidia sana kupika, kuosha vyombo, kudeki, kufua, kunyoosha sometime ikizidi anakuona Fa,la tu..
Usiipangie matumizi pesa ya mwanamke.
Thank me later
 
ASANTE MKUU na bado namtafuta mchawi wangu kwa nguvu kubwaa .UNAJUA NAMSAIDIA HIZO KAZI KWA SABABU YA WATOTO MDA MWINGINE ANAKUWA HAYUPO KAENDA HUKO KWENYE COZ
NA HIYO KUPIGA PASI,KUBRUSH VIATU NA MAJI YA KUOGA INANIBIDI COZ HAFANYI SASA INABIDI NIFANYE MWENYEWE
 
Hii sredi nikikoment machozi yatantoka.
Ngoja nipite kimya kimya!
 
Jaribu kujifunza kua cha mke wako ni chake yeye na chako ww ni chenu wote, usimulize kuhusu kipato chake, fanya yako ukiona anazingua zaid muweke pembeni
Ze biutiful wani iz not yet bon
 
Kwa akili yako mwanamke ana majukumu gani kwa mwanaume au viburi tu hivi mnavyo viendekeza siku hizi?!

Wewe ukimuwekea mume wako maji na kumfulia nguo zake maisha yakaendelea unapungukiwa na kitu gani....?!

Formula ya ndoa ni upendo, heshima, na uaminifu. Mengine yote yaliyobaki, ikiwemo majukumu unayoyataja, ni makubaliano baina ya wanandoa.
 
Kwa akili yako mwanamke ana majukumu gani kwa mwanaume au viburi tu hivi mnavyo viendekeza siku hizi?!

Wewe ukimuwekea mume wako maji na kumfulia nguo zake maisha yakaendelea unapungukiwa na kitu gani....?!
Hakuna sheria kwamba ni Lazima haya majukum yafanywe na mwanamke wala Mungu hajasema mwanamke apike..afue..adeki nyumba..apeleke maji bafun n.k...hii imekuja tu kama mazoea kwa sababu wanaume wamejiwekea kuwa kaz hizi ni za mwanamke.. Lakini kila kitu ni makubaliano unaweza ukafua pia na mke wako akapika
maana ya msaidizi ni nini? Maana naonaga mnasema eti mwanamke ni masaidizi wakati kila kitu mnamwachia..sasa kama anakusaidia wewe unafanya nini? Maana kama anakusaidia inatakiwa mfanye wote (msaidiane)....maana hata kutafuta kipato kwa ajili ya maendeleo ya familia mnasaidiana pia... kwa mtazamo wangu mwanaume anaweza jihakikishia kuwa hizi ni kazi za mwanamke peke yake kama tu mke wake anabaki tu nyumbani wakat yeye anaenda kuhangaika kutafuta hela tofauti na hapo msaidiane kila kitu..mwanamke naye anachoka pia.
 
Back
Top Bottom