tax compliant
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 1,211
- 1,196
Rejea uzi wa GENTAMYCINE kuhusu tabia za wake zenu katika msimu huu wa sikukuu. Asante.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa akili yako mwanamke ana majukumu gani kwa mwanaume au viburi tu hivi mnavyo viendekeza siku hizi?!Mungu ndiye alisema kazi ya mwanamke ni kufua na kukupelekea maji bafuni?
Anaweza asirudi piaHiiyo ndo huwa inaitwaga "midlife crisis " , Baada ya muda atarudi sawa
Ndio maana hua sifikilii ndoa.ningekua mimi hapo ningempiga yeye jumlisha na shangazi zake
hii ndoa tayari inaning'inia kwenye uzi mwembaba sana....ila haya mambo yapo....ni kukaa na wazoefu na watu wenye busara wamsaidie mawazo sahihiYeah, Ila Asikae Kimya Afanye Uchunguzi Maana Akifanyia Masihara Ndoa Yaweza Kufa.
umeongea mambo ya msingi sana .....nadhani hili ni tatizo kubwa tulilonalo hi karne ya kisasa....wanawake sio washikaji zetu wala masela.....umeamua kuingia kwenye ndoa kama mume manaake ni umeamua kubeba mizigo ya wategemezi wako.....ikitokea kakusaidia iwe ni kwa mapenzi yake tuu...lakini yeye hana jukumu hilo as far as GOD (muasisi wa ndoa) na the law of man are of concernKamanda, pamoja na ushauri wa watu wengine humu ndani. Kwanza unapaswa kupata jibu sahihi kwanini amebadilika kiasi hicho, ni nini kipo nyuma yake marafiki , makundi au nani?
Pili, baada kufanya uchunguzi wako kaa naye chini ujadili naye way forward anayotaka, then angalia kama yatakuwa na faida kwa familia na ndoa yenu. Kisha fanya maamuzi.
Naamini hana bwana.
Tatu acha kuhusisha pesa yake katika matumizi. Fanya kila kitu pesa yako, ikitokea pesa imepungua liache hilo jambo usimwambie akupe pesa ila fanya ajue kwamba hili halikufanyika kwa sababu no salio.
" Wanawake hawahitaji Demokrasia"
" Wanawake hawahitaji Demokrasia"
nimesomeshwa na wazazi wangu kwa ajili ya faida yao na siyo kwako na matoto yako kwa ujue utawapeleka vipi matoto yako shule pesa yangu achana nayo kabisa kama unataka uje uniombe
ASANTE MKUU na bado namtafuta mchawi wangu kwa nguvu kubwaa .UNAJUA NAMSAIDIA HIZO KAZI KWA SABABU YA WATOTO MDA MWINGINE ANAKUWA HAYUPO KAENDA HUKO KWENYE COZHio mentality ni mbaya sana sana sana saaaaana... Ukiona mwanamke hataki pesa yake itumike kwa watoto wake huyo ni hawa new version..
USHAURI: Mkuu mchawi wa ndoa yako lazima yupo, fanya uchunguzi lazima utagundua chanzo cha hayo mabadiliko
Halafu hiyo kumsaidia sana kupika, kuosha vyombo, kudeki, kufua, kunyoosha sometime ikizidi anakuona Fa,la tu..
Usiipangie matumizi pesa ya mwanamke.
Thank me later
Kwa akili yako mwanamke ana majukumu gani kwa mwanaume au viburi tu hivi mnavyo viendekeza siku hizi?!
Wewe ukimuwekea mume wako maji na kumfulia nguo zake maisha yakaendelea unapungukiwa na kitu gani....?!
Hakuna sheria kwamba ni Lazima haya majukum yafanywe na mwanamke wala Mungu hajasema mwanamke apike..afue..adeki nyumba..apeleke maji bafun n.k...hii imekuja tu kama mazoea kwa sababu wanaume wamejiwekea kuwa kaz hizi ni za mwanamke.. Lakini kila kitu ni makubaliano unaweza ukafua pia na mke wako akapikaKwa akili yako mwanamke ana majukumu gani kwa mwanaume au viburi tu hivi mnavyo viendekeza siku hizi?!
Wewe ukimuwekea mume wako maji na kumfulia nguo zake maisha yakaendelea unapungukiwa na kitu gani....?!
KabisaFormula ya ndoa ni upendo, heshima, na uaminifu. Mengine yote yaliyobaki, ikiwemo majukumu unayoyataja, ni makubaliano baina ya wanandoa.