Mke wa ndoa anaposema maneno haya anamanisha nini ?

Mke wa ndoa anaposema maneno haya anamanisha nini ?

Siku zote wanawake huwa hawapendi raha,hata kama unampenda usimuonyeshe ,sasa wewe unafua na kumpikia lazima akuone bushoke tu,ulikosea sana sasa anakupanda kichwani cha msingi sasa anza kuwa mwanaume mwenye majukumu take,usiingilie majukumu yasiokuhusu,by the way anatingisha kiberiti tu huyo
 
Unaweza kuwa umeshaambiwa hili na mimi nalirudia. Mpime mkeo, huenda ana ujauzito! Kama hana basi kuna pahala panamtia Kibri na Jeuri.
 
Tatizo sijui kwa vile namwmini sana coz nilianza nae akiwa mdogo kabisa akiwa hajawahi kuwa na mwanaume so nitakuwa najidanganya kumwanamini hawezi kuwa na mwanaume mwingine according na anavyokuwaga busy na mambo yake na anavyojiweka na huwa ananiambiaga hana jipya LA kutafuta kwenye sex
Hapo kwenye kumuamini ndugu umepotoka, ikiwa unawaamini Wanasiasa basi Mwamini na Mwanamke vile vile. Hawana tofauti
 
Wazee,
Mnazidi kunitisha aisee,

Walah ndoa kwangu mwikoooooooo!!
Ndugu kama hujui majukumu yako nakushauri usioe ila kama unajua basi ndoa ni rahisi.
Mwanaume ambaye hataki presha nyumbani ni yule mwenye bidii basi.
Hata watoto watampenda sasa miaka 10 ah 15 mko pale pale mnapanga sasa unazania mwanamke heshima iko wapi hapo ila mmekaa miaka 5 tu umeanza kujenga na sio kazi unayo tu na biashara ingine pia unayo.
So unadhaniaje si atakuheshimu hata akianza swaga za madharau ukimkanya anaaacha.
So mjipange ndio muoe hata ndoa ni uwe na mikakati au mipango baada ya miaka fulani utakuwa na house au utakuwa na biashara gari nini sio unaongea tu.
 
Hela zake ni zake na zako ni zenu wote.

amekustukia kwamba wewe unawasaidia ndungu zako tuu.ndugu zake huwasaidii.

Ila pia kule wale wanaharakati uchwara watakuwa wamemng'ata sikio huko saloon
ili aachike wamcheke
 
Sijui nisemaje lakini kukunyima mshahara wake ni haki yake ....pesa za mwanamke ni za kwake yeye mwenyew ..kama ataamua kukusaidia majukumu sawa vinginevyo hutakiwi kuzipangia matumizi zile ni zake....kakwambia kweli kasomeshwa na wazazi wake ili awafae baadae hakusomeshwa sababu nyingine ....kingineee kupeleka maji bafuni sio kazi yake labda aamue kukupelekea kwa mapenzi yake tu .....kufua pia labda aamue kukufulia kwa mapenzi tu vinginevyo tafuta dobi ...samahani kama utakwazika lakini habari ndiyo hiyo

Somesha wanao usimtegemee yeye wewe ndie kichwa na kiongozi wa familia
Dah.....wahiyo, naomba niulize....mwanamke wa siku hizi ana umuhimu gani kwa mwanaume hadi aje amuweke ndani kama mkewe?!

Maana kama ni mtoto naweza kwenda lipa kahaba anipe mtoto kisha nikaendelea kulea mtoto wangu bila huyo kahaba....

Unajua jamii sasa hivi badala ya kumsimamisha mtoto katika role yake ya kike, wanakazana kumfanya mtoto wa kike awe na haiba ya kiume yaani "masculinization of the feminine"....

Hii kitu ina haribu ile natural balance ya gender roles.....ni kama tuna msahihisha MUNGU kuwa alikosea kuumba wanawake na wanaume.....

Huu ujinga uishie 2018......
 
Mungu ndiye alisema kazi ya mwanamke ni kufua na kukupelekea maji bafuni?
 
Ndugu kama hujui majukumu yako nakushauri usioe ila kama unajua basi ndoa ni rahisi.
Mwanaume ambaye hataki presha nyumbani ni yule mwenye bidii basi.
Hata watoto watampenda sasa miaka 10 ah 15 mko pale pale mnapanga sasa unazania mwanamke heshima iko wapi hapo ila mmekaa miaka 5 tu umeanza kujenga na sio kazi unayo tu na biashara ingine pia unayo.
So unadhaniaje si atakuheshimu hata akianza swaga za madharau ukimkanya anaaacha.
So mjipange ndio muoe hata ndoa ni uwe na mikakati au mipango baada ya miaka fulani utakuwa na house au utakuwa na biashara gari nini sio unaongea tu.
Hahahahahaha
 
Ndugu yangu, uaihangaike kuumiza kichwa.....

Hili janga halijakukuta pekee yako ni wanaume wengi wanapitia hii hali.

Nitakupa sababu zinazoweza kuwa chanzo cha hiyo hali.....

1. Ulimbukeni wa mabadiliko ya maisha: kuna aina ya watu ambao huwa katika akili zao hawakuwa kutarajia kufika hatua fulani ya kimafanikio.
Sasa kwa bahati mbaya hii sampuli ikatokea akapata hayo mafanikio ambayo hakuyatarajia mfano, kupandishwa cheo, kupata kazi ya ndoto zake, kuongezwa mshahara, au kutusua dili ya pesa nyingi hapo ndipo akili yake hupoteza nguvu yake ya busara na hekima na hujikuta anaropoka na kufanya mambo ambayo si mwenendo wake wa kawaida. Watu wa namna hii huwa hawadumu katika kile kinachowapa kiburi katika maisha maana huwa wanaongozwa na sifa na jeuri hivyo we mpe muda tu atakutana na adabu ya MUNGU na atarudi kwako ameufyata. Haya ni matokeo ya kuwa na damu na akili ya kimasikini.

2. Mwanamke wako anaweza kuwa ana act hivyo kutokana na influence ya marafiki, ndugu au mzazi wake mojawapo sana sana mama. Hawa watu huwa wanakawaida ya kutobalance story kwa maana ya kwamba inapotokea ninyi wawili mkatofautiana wao hawatafanya jitihada ya kusuluhisha kwa kuwasikiliza nyote kila mtu upande wa story maana muwamba ngoma huvutia upande wake. Matokeo yake hapo ni kutoa ushauri ambao unalenga zaidi kukomoa na sio kusolve tatizo kwa wenza. Usikute ameshauriwa kuwa wewe mjibu unavyotaka asikupangie namna ya kuishi.

3. Huyo mwanamke anaweza kuwa kaanzisha mahusiano kwa usiri baada ya kuona kuna baadhi ya vitu hapati hapo kwako. Wanawake wa siku hizi wana akili mbovu sana nyakati za changamoto. Anaweza aone kuna changamoto fulani, lets say ya kipato katika familia badala ya kusimama na mume wake kumpa moyo na sapoti yeye anawaza kutoka kivyake ili maisha yaende. Sasa unaweza kuta kunashida ameinusa kaona isiwe nongwa, atafute mtu wa pembeni ambaye mwisho wa siku anaishia kumfanya awe na dharau hivyo.

4. Tabia mbaya ya mwanamke wako inaweza kuwa sababu. Kuna aina ya wanawake huwa anaweza kupretend kwa muda mrefu na inafika kipindi anakuwa hawezi jificha tena ufake wake ana amua kufunguka. Huyu mwanamke wako anaonyesha alikuwa na kiburi tokea muda sana ila tu alikificha na sasa ndio muda anaamua kionyesha maana anahisi hana cha kupoteza.

5. Pengine sababu ya ukorofi wa huyu mwanamke ni matokeo ya uvumilivu wa muda mrefu wa mwenendo wako, yaani kama ulikuwa unamfanyia matukio ya usaliti na ameshakufumania mara kadhaa.....sasa amefikia muda ameona kama vipi vipi. Katika hili ukweli unao wewe mkuu sio mimi.
 
Back
Top Bottom