Mke wa ndoa anaposema maneno haya anamanisha nini ?


Best advice ever!

Blessed to come across your comment!
 
Huu ushauri mzuri
 
kuingiza ni stage ya mwisho sana ...ile kumtxt tu mpenzi wako huwa ni msisimko kama wa cocacola...
In fact tukienda mara mbili bila najua hapa napoteza muda kama ni michepuko bye na kama ni mamito itabidi nifanye uchunguzi nisiwe naibiwa
 
Ana mtu anampa jeuri. Time will tell sio kawaida anachofanya kuna mtu nyuma ya pazia anakugongea
 
Inawezekana ana mtu anampa jeuri, na pia uenda kuna miradi yake anaifanya kimya kimya bila kukushirikisha kama vile kujenga au kununua viwanja kwa msaada wa jamaa, huwa mwanamke akishafikia point hiyo tunaita point of no return, jipange na ujiandae kuishi peke yako.
 
Ndugu yangu pole sana kwa maneno hayo ndoa iko kwenye "edge of a knife" maombi Sana na uvumilivu. Kuhusu watoto pambana Kama unaweza pekeyako..majukumu yake ayafanye saidia inapoonekana pamelega
 
Kwenye ndoa na mapenzi pesa imekua kipimo kikubwa sana cha upendo. Wanawake wamekuwa wachungu sana kwenye pesa zao na hata matumizi yao huwa hayaeleweki hata kama anapata mshara mkubwa sana. Kikubwa kuwa muwazi mueleze hufurajlhishwi na unachoona na uweke wazi misimamo yako. Usiogope kuachana akisisitiza hivo maana neno hilo limekuwa kimbilio kubwa sana kwao.
 
Nimekupenda Bure. Ubarikiwe saana
 
Congrats Mkuu. I like it
 

my friend kuna kitu umemkosea ama kaona msg za hawara zako au kaambiwa au kakuona au kuna dalili ya wewe kuwa na mtu nje hawezi ghafla kubadilika . pili mwanamke ukimuoa ujue sio mfanyakazi wako yupo pale kukuzalia na kulea watoto sio juu yake kazi za nyumbani akafanya ni kakufanyia hisani
 

kumbe hiyo mafunzo uliyompeleka kakutana na midada ya mjini kajifunza mengi na kakutana na wanaume hapo kwenye mafunzo utakuta kaisha pata mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…