Mke wa ndoa anaposema maneno haya anamanisha nini ?

Formula ya ndoa ni upendo, heshima, na uaminifu. Mengine yote yaliyobaki, ikiwemo majukumu unayoyataja, ni makubaliano baina ya wanandoa.
Hivi kama wewe unamtazama akiwa anafua, anajiandalia chai anapiga pasi unadhani akitokea mwenzako akamfanyia hayo yote wewe utakuwa nafasi gani kwake...?!


Kama nimakubaliano, utasemaje mwanaume akiwa hana time na kukuhudumia kwa gharama za maisha hapo ndani na mengineyo.....unategemea utajisikia vizuri kuwa upo na mwanaume....

Acheni kwenda kinyume na maandiko na mafunzo ya vitabu vya MUNGU. Haya mafunzo yanayotokana na viburi vya wadamu waliokosea hayatawafikisha popote cha zaidi ni kukupoteza shimo la umauti wa kiroho.....

Mnakera sana wanawake viburi.
 
Sasa unapinga nini na unakubaliana na nini?!
Maana ni kama upo kote kote.....je upande sahihi !ni upi?!

Hiyo mwanamke kujitafutia kipato ni kiherehere chenu wenyewe.....vitabu vya MUNGU vimeshaweka bayana kuwa mali na utajiri wa mwanamke upo kwa mume wake.....na mwanamke aliumbwa kuwa msaidizi....narudia tena msaidizi sio mtumwa wa mwanaume.....sasa unakwaje na msaidizi anakuwa busy na mambo yake na hasimamii habari zenu.

Kwa kifupi wanawake wa sasa hivi bible zenu ni post za malalamiko ya wanawake waliofeli kama akina joyce kiria na akina wema ndio mnaowatuma kama mifano na role models kwa maisha yenu......n


Sijawahi kuona mnafuata mfano wa akina dada wanaojielewa ndio maana akili zenu zipo waru waru busara na hekima hamna kabisa..........!
 
Tatizo nyie upendo kwenu ni kutoa mgegedo na kwa mwanaume upendo mnaotaka ni kupewa pesa basi mengine hamuyafahamu.....

Rejeeni vitabu vya MUNGU mtaona ukweli kizazi cha nyoka ubishi ndio umewakomaza akili zenu mbovu hizi
 
Hapo ndo utaelewa kwanini unaambiwa "ndoa ni uvumilivu" kwa wale tusio choshwa na mboga ya dagaa tukiamini ina mapishi mengi nahisi tunaelewana
 
umeshasikia wanaume wanaambiwa waishi na wake zao kwa akili basi na wanawake waishi na waume zao kwa akili... Wanaume wana michepuko mingi na wote wanahongwa..wengine wanazaa nao kabisa wewe ukijidai unajua Sana kusupport mmeo kumbe unamsupport awatunze malaya wake.. Wenzio huko wanapewa kila kitu wewe ndo unajidai unajua kusaidiana na mmeo kalagabahoo
 
Hujielewi
 
SkSka
Slay qeens bwana,kwani waxazi wangu hawakunisomesha niwasaidie,Sera yetu 2019 make more single mother
 
Kama ni kwel nakupa pole, pesa yako ni ya kuhudumia familia na yake ni yake usiiweke kwy mahesabu, mzoee tu mkeo ni mbinafsi sana hadi kwa watoto wake


Kaka hapo tatizo ni zaidi ya ela ya m/mke, anaweza akakatalia ela yake kwa sababu au style tofauti na hiyo lakini sio kwa majibu hayo, 100% kuna kinachompa jeuri!!!
 
Msingi mkuu wa ndoa ni kauli, hata kama m/mke hataki ela yake itumike kuna kauli anaweza kutumia lakini sio kwa majibu hayo unayojibiwa maana hapa tatizo sio ela ya m/mke isipokuwa tabia zake.......
..........hatuwezi kuhukumu maana sio kazi yetu lakini kuna uwezekano mkubwa tayari m/mke ana mahusiano nje ya ndoa yake, m/mke akishatoka nje mara nyingi huhamishia moyo wake kwenye penzi jipya na hufikia hata hatua ya kumdharau na kumchukia mme wake na humuona kama takataka, jitu la ajabu na mengine mengi ndo maana kuna kiipindi anapokuwa sawa hujuta kukuomba msamaa lakini kwa sababu moyo hauko kwako tena baada ya muda mfupi hali hurudi vile vile tu!!!
 
Bila shaka amepata jamaa anaetumia vumbi la kongo pili kwanini unafanya kazi za kike? Mimi mwanamke hata awe anaumwa kupika atapika tu aisee, yani ningekua na mwanamke wa aina hio angekua anakula vitasa si mchezo ila hakunaga mwanamke anaependa kuona hela yake inatumika
 
Hivi una miaka mingapi mkuu, naona kama utoto bado unakusumbua, hujui ndoa ni nini, mwanamke unataka akupe hela zake?
Ngoja nikwambie, mwanaume wa ukweli yupo hivi, kazi zote za ndani ni zako sio mwanamke, yeye anakusaidia tu.
Majukumu yote ya kulea familia pamoja na mkeo ni yako, usimuombe pesa yake, akikupa ni mapenzi yake kwako.
Mwanamke huwa hapendi, bali anapendwa. Yeye kazi yake ni kukutii tu.
Shauri zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 



Huyo hafai, usikute kishamegwa nje tayari na kujawa na kiburi. Mwanamke yeyote akishaliwa nje LAZIMA atageuka tu no matter what.
 
Mtu anafikia hatua ya kukwambia laiti ningejua niwazavyo halafu bado tu unaishi nae mzee baba ....!! Aisee subiri uwekewe sumu ufe ukawa hadithie kuzimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…