Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Hivi kama wewe unamtazama akiwa anafua, anajiandalia chai anapiga pasi unadhani akitokea mwenzako akamfanyia hayo yote wewe utakuwa nafasi gani kwake...?!Formula ya ndoa ni upendo, heshima, na uaminifu. Mengine yote yaliyobaki, ikiwemo majukumu unayoyataja, ni makubaliano baina ya wanandoa.
Kama nimakubaliano, utasemaje mwanaume akiwa hana time na kukuhudumia kwa gharama za maisha hapo ndani na mengineyo.....unategemea utajisikia vizuri kuwa upo na mwanaume....
Acheni kwenda kinyume na maandiko na mafunzo ya vitabu vya MUNGU. Haya mafunzo yanayotokana na viburi vya wadamu waliokosea hayatawafikisha popote cha zaidi ni kukupoteza shimo la umauti wa kiroho.....
Mnakera sana wanawake viburi.