Mke wa ndoa anaposema maneno haya anamanisha nini ?

Mke wa ndoa anaposema maneno haya anamanisha nini ?

Twisted love,matarajio hayajatimia mkuu tafakari upya,mfanye rafiki and don't be a master hela atakupa Kama zooooteeeee!
 
Duh ndoa hzi aisee, sisi wasimbe mpaka mda huu bado tupo bilabila hajitambui yaani tuoe au tusioe

HIVI KUOA NAKUOLEWA NILAZIMA JAMANI?
 
Iko hivi mwaka 2008 tulibahatika kupata mtoto bila ndoa 2014 tukapata mwingine bila ndoa ila mwaka 2016 tukabariki ndoa na sasa tunaishi kwenye ndoa ya watoto watatu sasa hivi huyu mke amekuwa na maneno makali ya kuchoma moyo na mwili
mfano

1.nilimwambia jana mbona nguo chafu na hapo jikoni hapako vizuri na nasema hivyo coz kulikuwa ma wageni watakuja kututembelea akaniambia mwanaume wewe una gubu

2.ananiambia nimemweka kifungoni nimemfanya mjinga sana kwa mda mrefu ila sasa ninajitambua
ananiambia hivyo baada ya kumwambia tuweke mahesabu sawa kati ya fedha take na yangu kwa ajili ya maandalizi ya watoto shule january alikuwa mkali kama pilipili na hajawahi kuniambia maneno aliyoniambia
mfano;

Miaka yote pesa yangu sina uhuru nayo nimesomeshwa na wazazi wangu kwa ajili ya faida yao na siyo kwako na matoto yako kwa ujue utawapeleka vipi matoto yako shule pesa yangu achana nayo kabisa kama unataka uje uniombe
hapa nikamjibu haitatokea kumwomba kama amechoka watoto anipe wanangu

3.Ongeza hawezi mapenzi ya kubembelezana bembelezana sijui nikupetipeti sijui nikulambe wapi ukiyataka hayo katafute wenye nayo kwangu hutoyapata na ukitaka kaoe kabisa ila ujue watoto wao na akaongeza siogopi kuachwa hata kidogo na ungejua kilichopo moyoni mwangu(kwake mke) ungenyamaza tu

Huwa nina kawaida ya kumsaidia kazi za ndani kama kuchota maji,kufua,kupika, sasa jana kaniambia wala sitaki unisaidie vikazi unavyonisaidia.

then wenzangu mlioko kwa ndoa na mna watoto siyo chini ya watatu nguo zenu zinanyooshwa na wake zenu au nyie wenyewe,viatu au makobazi yanafuta na kupakwa ranging na mke au nyie wenyewe.
je maji ya kuoga mnapeleka wenyewe au mnapelekewa mimi nafanya vyote hivyo mwenyewe .

Anasema hayo yote then asubuhi analia tu na kusema yaishe nashindwa hata kuelewa anataka nini anafikiri nini na matarajio yake nini
Nimesoma haya maneno nikaogopa sana. Hasa ukizingatia wengine ndoa zetu ni changa. We have two kids but we thank God sote tunahofu ya Mungu ndani yetu
 
Kaongea mengi sana mkeo ila uwo mstari wa "ungejua kilichopo moyoni mwangu ungenyamaza" usichukulie ili neno kawaida mtu akiwa na asira jaribu kunasa maneno anayoongea yote niyakweli mara nyingi na anatoa yaliyopo moyoni. Mfatilie mke kuna mawili amempata mwanaume mwingine au kuna mwanaume anayemsumbua na pesa anampa.
Kingine kufanya shughuli za nyumbani siyo kosa ata mm nafanya ila usifanye kama ndyo jukumu lako fanya kwa kiasi.
Wanawake niwabinafsi siku zote hasa kwenye maswala ya fedha ndivyo walivyoo jaribu kujibana miezi mi3 kabla ya mwisho wa mwaka kuweka fedha itakayo tumika x mass na ela kwaajili ya ada za watoto ikiwezekana home ata nguo ucnunue za sikukuu kwaajili ya watoto ila maitaji ya msingi ndani ya nyumba yasikosekane hasa ada chakula
 
Pole sana mkuu,kweli ndoa yako ina changamoto mkubwa sana,Ila kuwa makini na mkeo ,mchunguze kwa akili sana
 
Dakika kama 10 nimetoka kumchapa makofi huyu wa kwabgu......sipendagi ujinga hasa wa kujibizana na mwanamke.
.
.
Fukuzia mbali jinga huyo.
 
piga chini..tafuta mke mwingine. wanawake wamejaa hivi unasumbuka na huyo mmoja anaekudharau?
 
Unatimiza jukumu lako la ndoa?? Nakushaurimpe mimba nyingine atatulia.
 
Fanya kautafiti mkuu,Daah waliondani ya ndoa wanalalamika,nawengine tunataka kuja huko wengine mnatupa hizi kero za ndani ya ndoa.....daah MUNGU tupe mwongozo kwakweli
 
Hahahahahahhahahahahaah hata ukinidharau haitobadilisha ukweli kwamba pesa ya mwanamke ni yake na si vinginevyo hamna haki ya kuipangia matumizi ni hilo tu .......haya unaweza kuendelea kunidharau ni ruksa sababu huniongezei wala kunipunguzia chochote

Asante kwa ushirikiano

Sure, ndio maana nimesema haileti tofauti yoyote
 
Mu
Niko nasubiri maoni yenu nitayafanyia kazi
Muda wote toka mnazaa mtoto wa kwanza na wa polo ilikuwaje mpaka ukashindwa kumuoa mapema ?? Wakati mwingine ulileta visingizio unajipanga kumbe unatesa na wanawake wengine! Hayo ndiyo malipo yako. Nadhani tatizo ni wewe!!
 
Bado haija kufa, ila inapitia hatua mbaya kitu ambacho kama hakuta kuwa na juhudi za makusudi za kupata suruhu yaweza kufa hapo baadae.
Trust me

Kilichobaki Ni mazoea lakini misingi ya ndoa kwishnehi
 
Iko hivi mwaka 2008 tulibahatika kupata mtoto bila ndoa 2014 tukapata mwingine bila ndoa ila mwaka 2016 tukabariki ndoa na sasa tunaishi kwenye ndoa ya watoto watatu sasa hivi huyu mke amekuwa na maneno makali ya kuchoma moyo na mwili
mfano

1.nilimwambia jana mbona nguo chafu na hapo jikoni hapako vizuri na nasema hivyo coz kulikuwa ma wageni watakuja kututembelea akaniambia mwanaume wewe una gubu

2.ananiambia nimemweka kifungoni nimemfanya mjinga sana kwa mda mrefu ila sasa ninajitambua
ananiambia hivyo baada ya kumwambia tuweke mahesabu sawa kati ya fedha take na yangu kwa ajili ya maandalizi ya watoto shule january alikuwa mkali kama pilipili na hajawahi kuniambia maneno aliyoniambia
mfano;

Miaka yote pesa yangu sina uhuru nayo nimesomeshwa na wazazi wangu kwa ajili ya faida yao na siyo kwako na matoto yako kwa ujue utawapeleka vipi matoto yako shule pesa yangu achana nayo kabisa kama unataka uje uniombe
hapa nikamjibu haitatokea kumwomba kama amechoka watoto anipe wanangu

3.Ongeza hawezi mapenzi ya kubembelezana bembelezana sijui nikupetipeti sijui nikulambe wapi ukiyataka hayo katafute wenye nayo kwangu hutoyapata na ukitaka kaoe kabisa ila ujue watoto wao na akaongeza siogopi kuachwa hata kidogo na ungejua kilichopo moyoni mwangu(kwake mke) ungenyamaza tu

Huwa nina kawaida ya kumsaidia kazi za ndani kama kuchota maji,kufua,kupika, sasa jana kaniambia wala sitaki unisaidie vikazi unavyonisaidia.

then wenzangu mlioko kwa ndoa na mna watoto siyo chini ya watatu nguo zenu zinanyooshwa na wake zenu au nyie wenyewe,viatu au makobazi yanafuta na kupakwa ranging na mke au nyie wenyewe.
je maji ya kuoga mnapeleka wenyewe au mnapelekewa mimi nafanya vyote hivyo mwenyewe .

Anasema hayo yote then asubuhi analia tu na kusema yaishe nashindwa hata kuelewa anataka nini anafikiri nini na matarajio yake nini
Mtu wa namna hiyo fyekelea mbali
 
Hizo zipo mzee baba anahasira za sikukuu tu si unajua wanawake.

Hapo unabaki kimya akianza unakaa kimya analalamika weee hadi hasira zinakwisha. January mwishoni atarudi vizuri.

January wewe panga mipango kama ilivyozoeleka siku zote.

Yonesha una uzoefu..... heheheheheee.

Takwinyaaa.
 
Ndio maana mnambiwa oweni wanawake darasa la saba au form 4 hamsikii mnataka watumishi wenzenu unaona sasa walivyokuwa pasua kichwa kimshahara chake ndiyo kinachomtia kiburi mkuu

Ungekuwa umeowa darsa la 7 au Form 4 angekuwa anakufulia, kukupigia pasi, kukutengea maji ya kuoga, chai mezani na huduma nyingine lakini hao wamaofisini asubuhi anamuwaza bosi wake kwanza kabla yako
 
Back
Top Bottom