jo5
JF-Expert Member
- Dec 15, 2022
- 894
- 1,381
Ni ngumu kutoliwa aseeMwanamke auze gongo afu asiliwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ngumu kutoliwa aseeMwanamke auze gongo afu asiliwe
[emoji23][emoji23][emoji23]WANAWAKE NARUDIA KUWAMBIA HUU UKWELI..MCHEPUKO ATAKUAMBIA USIJALI HATA UKIVUNJA NDOA NAKUOA.
MCHEPUKO HAKUOI..YAAN HUKO KWENU, ATAANZA KUWAZA JINSI YA KUKUHUDUMIA,. MARA AKUPANGISHE MARA MAHITAJI, NAYEYE ANAFAMILIA.
HAWEZI KUKUOA, UMEBOMOA NYUMBA YAKO KWA MIKONO YAKO !!.
ATAKUHUDUMIA MWEZI MMOJA TU KISHA ANAPOTEAA.
UTAANZA KULIA NAKUTOA KAMASI URUDI KWAKO.
JAMII ITAKUCHEKAA SANAAAA.
MATOKEO YAKE, UTAANZA KULIWA NA BODABODAAAA.
UTALIWA MPAKA UTAANZA PEWA MASHARITI .."HIYO HELA NITAKUPA LAKINI NIONJESHE MKUNDUU MY".
Kumbe kaamua mwenyewe kuivunja. Safi hiyo haina madharaWaslaam wakuu!
Nipo na ndugu yangu mmoja ambaye sio ndugu wa toka nitoke ila baba Yake na baba yangu Ni ndugu wa baba mmoja.
Ndugu yangu alikuwa na mke na wamefanikwa kupata watoto wawili wa mvulana na msichana.
Ilifika wakati maisha yakabana Sana jamaa yangu akalazimika kwenda mjini kuhenyeka angalau apate chochote ili aweze kumhudumia familia yake aliyoiacha kijijini.
Mke naye alikuwa mpambanaji kwa kiasi fulani kwa hiyo alipata wazo la kutafuta mtaji angalau aanzishe kabiashara.Alipopata mtaji aliamua kuanza biashara ya kuuza pombe za kienyeji.Alikuwa na Uhuru wa kufanya biashara Yake vizuri tu coz alikuwa ashatengeneza uhusiano mzuri na wajeda na kuwapa mlungura kwa hiyo hawakuwa wanamsumbua.Wao walikuwa wanamtembelea baada ya muda fulani na kupewa chochote kitu na kusepa kwao.
Maisha yalikuwa poa Sana kipindi hicho maana pesa ilikuwepo na jamaa alikuwa na uhusiano mzuri na mkewe.
Jamaa alikuwa anakuja kuitembelea familia Yake baada ya muda fulani na Kisha kurudi mjini kuendelea na kazi.
Watu kutoka sehemu mbali mbali walikuwa wanamiminika kwenye nyumba ya yule mama kwa ajili ya kubugia pombe alizokuwa ametengeneza yule mama.Kiukweli mke was jamaa alikuwa anapiga hela ndefu sana kutokana na hiyo biashara yake.
Sasa katika wale wanywaji wa pombe Kuna jamaa mmoja alianza kujenga mazoea yasiyo ya kawaida na mke wa ndugu yangu.Yule jamaa alikuwa anashinda pale kwa muda mrefu Sana akinywa pombe zake huku anapiga stori na mke wa ndugu yangu.
Baada ya muda fulani wakawa wamependana.Kumbuka yule jamaa naye alikuwa na familia yake,Yaani mke na watoto.
Waliendelea na mahusiano yao kisirisiri Hakuna mtu aliyejua coz jamaa alikuwa anazuga tu kunywa pombe kumbe alikuwa na ajenda nyingine.
Ilifikia wakati akaanza kuja kulala kwenye hiyo nyuma na mke wa ndugu yangu.
First born wa ndugu yangu alikuwa anaitwa Joel na kipindi hicho alikuwa amefikisha miaka minne.
Kumbe Joel kilikuwa na uelewa mkubwa Sana kwani kalikuwa kameshausoma mchezo wa mama Yake na yule mwanaume wake ila kalikuwa kanauchuna tu mpaka siku baba anarudi kutoka kazini ili kampe mchongo mzima.
Joeli alikuwa anaona jinsi mama Yake alivyokuwa anamfungulia mlango yule jamaa mida za Usiku.Joel alikuwa anaona jinsi jamaa alivyokuwa chumbani kwa mama Yake na kushinda huko muda mrefu.
Sasa ndugu yangu alipopewa likizo kazini aliamua kufululiza Moja kea Moja Hadi nyumbani kwake kuja kuitembelea familia Yake Kama kawaida Yake.
Mara hii alipokuja alimkuta mkewe kubadilika Sana kitabia.Yaani alikuwa amenza kuwa mjeuri Sana mixer kumjibu mumewe hovyo.
Kimbembe chenyewe Sasa kilianzia chumbani kwani mke aligoma kbsa kumpa mumewe mzigo ale.Kila jamaa alipokuwa anajaribu kumgusa mkewe mke alikuwa alikuwa anarusha mikono na kusonya huku akisema Hana hamu ya kufanya tendo.
Ukawa Ni mwendo wa kulala mzunguko wa nne hakuna kugeukiana.Mke wa jamaa alikuwa amenogewa na dushe la mchepuko wake kwa hiyo hataki kusikia habari za mumewe.
Sasa siku Moja Joel kalitime mama ametoka kiasi kakawa kamebaki na baba tu,kakaamua kujilipua kakamweleza baba kila kitu mama alichokuwa anafanya na yule mchepuko wake kwenye nyumba ya.Ndugu yangu alistuka sana kusikia maneno Kama hayo kutoka kwa mtoto Kama yule.
Jamaa alipomdadisi mkewe kuhusu ishu yenyewe Ila mke alimkatalia kbsa akasema Hakuna kitu Kama hicho huyo alikuwa mteja was pombe tu.
Jamaa hakuridhika na maneno ya mkewe akaamua kuita kikao Cha familia ili kutatua Hilo suala.
Kikao kikaitwa na watu kadhaa wa familia akiwemo baba yangu wakahudhuria.Jamaa alihakikisha mpaka Joel naye yupo Kwenye kikao ili atoe ushahidi wa Yale aliyoyashuhudia.
Jamaa alikuwa ameapa kwamba iwapo mkewe atapatikana na hatia ya kuchepuka Basi ndio itakuwa mwisho wa ndoa yao kila mtu ashike hamsini zake.
Mambo yaliongeleka mengi Sana hasa kutoka kwa jamaa yet.Alisema aliporudi kazini alimkuta mkewe amebadilika Sana Hadi kufikia hatua ya kumnyima unyumba.
Tatizo mke wa jamaa naye badala ya kujishusha akiri makosa Yake na ikiwezekana asemehewe,yeye aliendelea kuonyesha jeuri Yake pamoja na kuongea pumba tupu kwenye kikao.Alidai yeye Yuko tayari kuachana na mumewe kwani ashamchoka.
Mke hakukana ushahidi ulitolewa na Joel pamoja na watu wengine waliokuwa wameustukia mchezo wa huyu mwanamke na mchepuko wake.
Waliachana kwa hasira Sana na mke akafungasha akarudi kwao jamaa akabaki na wanaye ndoa ikawa Imevunjika hivo.
Kweliiii?
Na hali ikishakuaga hivi.. mchepuko unakua hauna time tena na wewe...
Hapo ndipo utakapojua hujui
Wacha zivunjwe
Jamaa kashajiongeza tayari na mke mwingineAitopita miezi mitano atarudi kuomba msamaha uyo maisha yenyewe yalivo magumu..watch and see
Wanawake wanaofanyaga hiyo biashara huwa wanaliwa kirahisi sanaMwanamke auze gongo afu asiliwe
Dogo aliwekwa kikaoni ili atoe ushahidi unaohitajika,kajamaa kalikuwa kajasiri sanasipati picha dogo joel (4years) amepata uzoefu gani ndani ya kikao cha familia, tena kikao cha mafarakano. Naamini atabaki na vikumbukumbu.
Nimemkubali jamaa amefanya maamuzi ya bila kuremba na hivyo ndivyo uanaume unavyotakiwa.
Sio unakuja na kuanza kulia lia eti nipeni ushauri wakati unaona kabisa fyongo limefanyika waziwazi.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
KATAA NDOA
Mwanaume unatakiwa uact Kama mwanaume haswaaHii ndo spirit ya kiume..
Unaoa akikushinda una acha, simple..
Sio unapata kisukari na presha kisa mke
Sawa endelea kutibu pressure kisa huna uwezo wa kuacha mke unamtupia lawama mtoto...Lengo la talaka ni kuharibu future ya watoto
Kweli kbsa mkuu, afu mwanamke akiamua kupenda huwa anapenda KweliKimsinhi mapenzi huwa ya watu wawili.
Ni vigumu kupenda watu wawili Kwa wakati mmoja. In short make wa jamaa yako aliwekeza hakili na hisia Kwa mchepuko.
Na Kwa kawaida mahusiano ya kingono hugeuka kuwa ugojwa wa mapenzi, ambao hupelekea mtu kutoelewa Wala kusikia chochote aambiwachio.
Refer mke wa boss kutembea na kijana wa kazi vs baba na house girl
Umesema ukweli kbsa mkuu, imagine huyo jamaa alikuwa amemdanganya mke wa ndugu yangu eti atamnunulia kiwanja Kisha amjengee mixer kumfungulia biashara kubwa, bt Mambo yalipoharibika jamaa hata hakujulikana alipotorokeaWANAWAKE NARUDIA KUWAMBIA HUU UKWELI..MCHEPUKO ATAKUAMBIA USIJALI HATA UKIVUNJA NDOA NAKUOA.
MCHEPUKO HAKUOI..YAAN HUKO KWENU, ATAANZA KUWAZA JINSI YA KUKUHUDUMIA,. MARA AKUPANGISHE MARA MAHITAJI, NAYEYE ANAFAMILIA.
HAWEZI KUKUOA, UMEBOMOA NYUMBA YAKO KWA MIKONO YAKO !!.
ATAKUHUDUMIA MWEZI MMOJA TU KISHA ANAPOTEAA.
UTAANZA KULIA NAKUTOA KAMASI URUDI KWAKO.
JAMII ITAKUCHEKAA SANAAAA.
MATOKEO YAKE, UTAANZA KULIWA NA BODABODAAAA.
UTALIWA MPAKA UTAANZA PEWA MASHARITI .."HIYO HELA NITAKUPA LAKINI NIONJESHE MKUNDUU MY".
Sasa mama joel anabaki na asali wa moyo wake, AKA mteja wake
Jamaa ameact kiume sanaFresh tu.. Jamaa kafanya fresh, akizingua piga chini, ya nini kupeana magonjwa ya moyo
Alikuwa kashanogewa na mchepuko wako kwa hiyo alitaka apewa fursa ya kwenda huko kbsaKumbe kaamua mwenyewe kuivunja. Safi hiyo haina madhara