Mke wa ndugu yangu aivunja ndoa Yake kwa mikono Yake mwenyewe

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe kaamua mwenyewe kuivunja. Safi hiyo haina madhara
 
Ndio kbsa mkuu, anaamua kukupotezea mazima na kuendelea na shughuli zake zingine
Na hali ikishakuaga hivi.. mchepuko unakua hauna time tena na wewe...

Hapo ndipo utakapojua hujui
 
sipati picha dogo joel (4years) amepata uzoefu gani ndani ya kikao cha familia, tena kikao cha mafarakano. Naamini atabaki na vikumbukumbu.
Dogo aliwekwa kikaoni ili atoe ushahidi unaohitajika,kajamaa kalikuwa kajasiri sana
 
Kweli kbsa mkuu, mwanaume unatakiwa uamue kitu ambacho utasimama mpaka mwisho,Hakuna kupindua
Nimemkubali jamaa amefanya maamuzi ya bila kuremba na hivyo ndivyo uanaume unavyotakiwa.

Sio unakuja na kuanza kulia lia eti nipeni ushauri wakati unaona kabisa fyongo limefanyika waziwazi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kweli kbsa mkuu, afu mwanamke akiamua kupenda huwa anapenda Kweli
 
Umesema ukweli kbsa mkuu, imagine huyo jamaa alikuwa amemdanganya mke wa ndugu yangu eti atamnunulia kiwanja Kisha amjengee mixer kumfungulia biashara kubwa, bt Mambo yalipoharibika jamaa hata hakujulikana alipotorokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…