Mke wa ndugu yangu aivunja ndoa Yake kwa mikono Yake mwenyewe

Hii imetokea kwa dada yangu kabisa, ndoa kavunja, na mchepuko umekimbia upo na familia yake kimya, kilichobaki kutusumbua tu sisi ndugu zake mara sina kodi au sina hela ya kula hatari tupu
 
Halafu nina experience 5 watoto wa kiume huwa ndo wakiona ujinga wa maza chap wamavujisha mkanda kwa dingi!
Ila matotl ya kike subutuuuu, linatumwa hadi lichukue hongo duka la Mangi kanakula buyu tu.

Brother nae ndoa imebakia picha tu katika album za ukoo baada ya dogo wa kiume kuelezea mkanda wa yaliyokuwa yanajiri.

"Eti tulikuwa hata hatushibi, huyo mubaba anabakishiwa chakula kingi kuliko tunachopewa" [emoji3][emoji3][emoji3][emoji2]
 
Kama aliyosema Joel yana ukweli naunga mkono kuvunjika ndoa hiyo

Halafu unatoa wapi nguvu ya kuruhusu mkeo auze pombe? Hivi tunasahau maji hufuata mkondo?

“Mwanamke mjinga huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe”
- Sijui
 
Kweli kbsa mkuu, unajua watoto wa kike ndio hufaidika Sana maana huwa wanahongwa vihela vya kununulia pipi madukani,kwa hiyo wanacooperate Sana😂
 
Kama aliyosema Joel yana ukweli naunga mkono kuvunjika ndoa hiyo

Halafu unatoa wapi nguvu ya kuruhusu mkeo auze pombe? Hivi tunasahau maji hufuata mkondo?

“Mwanamke mjinga huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe”
- Sijui
Wanawake wauza pombe huwa wanaliwa kirahisi sana mkuu, labda mwanamke aww tu na self control ya kiwango Cha juu ndio akwepe mitego ya minjemba
 
Wanawake wauza pombe huwa wanaliwa kirahisi sana mkuu, labda mwanamke aww tu na self control ya kiwango Cha juu ndio akwepe mitego ya minjemba
Kabisa
Mwanamke muuza pombe yani swala la yeye kuuza pombe tayari katoa 70% za kuliwa
Hizo 30% ni mazingira, afya, saikolojia na uwezo binafsi wa mwanaume kunafanikisha kuliwa kwake
 
Bora maaana huyo maza ni malaya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…