Watoto wa kiume wakikuona na dada/mama yao tu wana'mind hata mawe wanaweza kukurushia wa kike sasa [emoji23] kwanza hawana noma wao poa poa tu tena wanachekelea wakikuona.
Hii imetokea kwa dada yangu kabisa, ndoa kavunja, na mchepuko umekimbia upo na familia yake kimya, kilichobaki kutusumbua tu sisi ndugu zake mara sina kodi au sina hela ya kula hatari tupu