Mke wa Ne-Yo amletea mume wake Wanawake waku Sex nae nyumbani

Hii imeka poa sana...mke wake anastahili kupewa tuzo ya superwoman
 
Huu ni msisimamo mzuri sanaaa na laiti wanawake wengine wangefanya hivi hii Dunia ingekuwa safi sana tunengeepuka magonjwa kwenye ndoa

Kubwa tunachotakiwa kujua nii Wanawake wana nafasi kubwa ya sisi wanaumen kuishi maisha marefu
Msimamo mzuri kivipi? Unajuakuwa kuwa hao wanawake walikuwa hawatowi papuchi zao bure, walikuwa wanalipwa hivo!? Kwa maana nyengine ni sex workers, ni malaya! Mke anakutafutia wanawake usex nao
 
Kuna watu wana bahati hapa Duniani, hao ni wale Wanawake wanakuuliza Mume wake, nikupe nini tena uinjoi...

Kama una nguvu, ni kujilia mema tu hadi unazeeka πŸ€—
Na hawezi kumuacha mwanamke wa namna hiyo katika maisha yake yote, maana kishaziba mianya yote ya matamanio ya mwanaume. Kuna nini tena hapo?
 
Neyo ni mimi
 
Nasikia baadhi ya makabila, kama Wanyiha, hufanya hivyo, ila kimyakimya; mwanaume aliyesoma Cuba ndio huweza kugh'amua fumbo.
 
Labda ubongo wangu uwe umelala ndio nifanye hivyo

Hampendi mume we huyoooo

Mali tamu, wapate na mimba za miujiza ziwe na mumewe.
 
kwakweli huyu mmama/mdada ni mfano wa kuigwa kwa wenzie,,abarikiwe sana
 
Kuna watu wana bahati hapa Duniani, hao ni wale Wanawake wanakuuliza Mume wake, nikupe nini tena uinjoi...

Kama una nguvu, ni kujilia mema tu hadi unazeeka πŸ€—
πŸ˜‚πŸ˜‚we kjamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…