Mke wa Profesa Jay afunguka, familia yaomba msaada wa matibabu

Kikubwa Anaumwa
Huyo hanaga Shida na Mtu
hana Majivuno
Ni mgonjwa kama umejaaliwa Msaidie
kama Huna Usikatishe Tamaa Wengine
sio kila Ugonjwa lazima Uwekwe wazi
Jua Anaumwa na nikweli Mgonjwa
kwa hyo nikijua ugonjwa anaoumwa ndo nitakatisha watu tamaa 🙁🙁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…