Mke wa Profesa Jay afunguka, familia yaomba msaada wa matibabu

Tatizo la wasanii wanaishi maisha ya kifahari sana na kuwaona raia wa kawaida kama kinyesi ila wakiumwa haraka sana wanatembeza bakuli tuwachangie.
Mkuu msanii yupi huyo anayeishi maisha ya kifahara na anakuona wewe kama kinyes*?
 
Wacha chuki kuna mwenzio niliona kakoment kweny post ya AY kwamba si mwanae anasoma Feza izo mambo acha kabisa matatizo sio kitoto pro j mpaka wapinzani wanamkubali yaani CCM hana kik za kitoto wala show off za kishamba
Watu wana inferiority Complex ya hali ya juu sana ...

Wengine wakipitwa kipato na mali kidogo tu, wanajawa na wivu na chuki wanaanza kuwachukia wnye mafanikio zaido yao.. kana kwamba matatizo yao ya maisha yamesababishwa na waliofanikiwa kuwazidi

"Umasikini unaleta chuki na hila kwenye mitaa"
 
Watu ni rahisi sana kujaji mtu, hata kama hawajuwi kinachoendelea
 
Aisee Tusiokuwa nacho tuna rohi mbaya sana,kuna watu tukifanyiwa tathmini mioyoni mwetu basi sababu ya kutokubarikiwa itafahamika dhahiri.Umasikini ni mbaya sanaa
Usishangar mkuu..

Umasikini huleta wivu mbaya , wivu mbaya huleta chuki.. na ndio hizi zinajidhiirisha..
 
Wasanii wakubwa wengi wakiwa kwenye pick maringo na nyodo, wakiumwa au kufulia wanakuwa wema na kutaka huruma za mungu.
Prof au, Unamzunguzmia msanii yupi, au umwajumuisha wote?
 
Duuuuh
 
Boss hata ukilazwa mwaka mzima bima ina cover? Na hivyo vipimo vyote kwa huo muda wote? I thought zina ukomo
 
GET WELL SOON THE HEAVYWEIGHT MC WAMITULINGA MTI MKAVU The ICON NA MWENYEZI MUNGU AKUPONYE UPONE HARAKA
 
Anaumwa nini huyu jamaa? Posts nyingi lakini hazitaji anaugua ugonjwa gani
 
Wewe utamchangia lofa usiemjua? Au ndio mtaishia kumkejeli tu! Hao watu maarufu wana advantage ya kuwa maarufu so misaada ni easy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…