Mke wa rafiki yangu ananitaka ili alipe kisasi Kwa mume wake

Hivi kwann shetani hupenda kutumia wanawake ktk harakat zke.
Kwa sababu wanawake ni weakest link kwenye maamuzi so anapenda kuwatumia sana huwa wanafikiria baada ya kutenda, hawafikirii kabla ya kutenda, na wana maamuzi ya haraka wakiwa kwenye temper..
 
You want some go gerr some 6 feet deep isn't a joke bro
 
Misimamo wangu ni kwamba hata iweje sitaruhusu kulala na shemej yangu Japo kua ikitokea shemetani ndo wakulaumiwa.πŸ˜‚πŸ˜‚

Hili jambo limeniongezea uzoefu kuhusu wanawake ogopa sana mwanamke akiamia kulipiza kisasi
Do it at your own risk!
 
Ogopa sana mwanaume asiyejua kuandika
 
Dogo usivunje urafiki na mwenzako kwa ajili ya mkewe, huyo hakufai mwambie anitafute nimsaidie kisaikolojia ila mumewe asijuwe.
 
Chai
 
Achana na hiyo kitu kesi hiyo yote itakuangukia wewe!...huyo mwanamke atataka mumewe ajue kuwa umemla ili kisasi kinoge
 
Mrejesho, umeishamkula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…