Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
shukraniManjano labda uende mwenyewe pale kwa Luvtouch.
Ila ukinunua ununue set ndio utafaidi.
Set huwa inajumuisha Mafuta, foundation na sabuni.
Hizi za maduka ya mawakala mie huwa samtain siwaamini.
Mimi huwa ni mtumiaji wa bidhaa za Sleek.
Na kijingozi changu hiki cha chungu.....akhaaa
Nateleza tu.
Asa ndo kama akina Wema.Mwanaume kuchepuka na kuhangaika ni kama tabia ya asili ipo tu...
Ukiona mtu kaoa mweusi halafu anachepuka na mweupe jua tu anajua kila kitu kuhusu ubaya wa mikorogo vile tu tamaa za hapa na pale
Hivi unampeleka vipi mwanamke alijichubua nyumbani, wazazi huyu ndo nimempenda. ndo hii sasa Mama anakuchana mwanangu mwanamke gani umeniletea unamuona mbaya
Kabisaaaanoma sana
hivi vinatengenezwa hapa hapa mjini
maji ya betri
jiki
mavi ya mbuzi
carolite
quinine etc
Sio pale Manyanya karibu na dula la Zamaradi?shukrani
kuna duka flani la vipodozi kinondoni linaitwa jacks cosmetics unalijua? anauza lotion ya cocoa butter laki sita
yaani kasabuni tu ka kuogea elf 60
unalifahamu kwanza maana kidogo nizimie pale
hyo huyoSio pale Manyanya karibu na dula la Zamaradi?
Kama ndo yule mshenzi ana bei, wasanii na wadada wa mjini ndo wateja wake.
Ila kama pesa ipo, jipinde mwaya.
Mie duka langu la hivi vipodozi vya asili huwa naenda pale Samiratha.
Na hata nikinunua najua nakaa nayo muda mrefu.
Halafu jambo lingine usipende kuhamahama maduka.
Waweza enda sehemu ukakuta lotion hiyohiyo inauzwa laki na huku ikauzwa elfu thelethini
by the way hivi zoazoa za grace ziliishia wapi?ahahaaa mimi madam natengeneza mafuta yaangu ya nazi kila week najipaka kwa raha zangu sitaki michirizi mieSio pale Manyanya karibu na dula la Zamaradi?
Kama ndo yule mshenzi ana bei, wasanii na wadada wa mjini ndo wateja wake.
Ila kama pesa ipo, jipinde mwaya.
Mie duka langu la hivi vipodozi vya asili huwa naenda pale Samiratha.
Na hata nikinunua najua nakaa nayo muda mrefu.
Halafu jambo lingine usipende kuhamahama maduka.
Waweza enda sehemu ukakuta lotion hiyohiyo inauzwa laki na huku ikauzwa elfu thelethini
hapo sibanduki kumbe waachie wenginee hayoowe navyo penda karangi kangu siwezi aisee
hyo huyo
kuna boss wangu aliniambia nimsindikize mweee maweee yaani kidogo nizimie
lipshine ya buku moja anauza elf 35
kwani vitu vyake anatoa wapi?
Anasemaga vya Uk.by the way hivi zoazoa za grace ziliishia wapi?ahahaaa mimi madam natengeneza mafuta yaangu ya nazi kila week najipaka kwa raha zangu sitaki michirizi mie
kwa kweli tafuta hela na mie nikugandehapo sibanduki kumbe waachie wenginee hayoo
Mhhh sasa hapo utaniua kwa presha JPM kabana wewe tupendane tuukwa kweli tafuta hela na mie nikugande
mapenzi na njaa nitakucheat lazimaMhhh sasa hapo utaniua kwa presha JPM kabana wewe tupendane tuu