TANZIA Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu Salim Ahmed afariki dunia

Acha udanganyifu mkuu!

Mi Niko powa mkuu
Wee jamaa wee Leo umeniamulia Aisee.

Saaaa... Saaagggg.. Daaaaaaaa

Sagudaaaaa mtu wangu

πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘ŒπŸΏπŸ‘ŒπŸΏπŸ‘ŒπŸΏπŸ‘ŒπŸΏ
 
Allah amuweke katika Jannah, kweli kuugua sio kufariki. Pole kwa familia mama tulikuwa tunamuona anamuuguza mume wake kaondoka yeye kamuacha mume wake akiwa anaumwa. namfikiria ndugu yetu Salem Ahmed Salem na watoto wake. Mungu awape subra katika hili na wamshukuru Allah kwa kila kitu maana ndio hali halisi ya binadamu. kuondoka Mama katika nyumba sio jambo dogo.
 
Pole sana kwa Mzee kwa kuondokewa na mpendwa wake.
 
Nimepoteza Class mate wangu, Forodhani Secondary School!

Nyumbani kwao palikuwa maeneo ya kisutu karibu na ilipo City mall

Pole sana Dr Salim, Allah ampe tahfeef, kuondolewa na Mke Mlezi ukiwa taaban kitandan ni mtihan Mkubwa sana sana
Hee, kumbe JF kuna watu ambao wamekaula chumvi kiasi hicho !!!!!
 
Lala salama mama Amne
Na umri alionao hiki kitakua kipindi kigumu sana kwa Mh Salim Ahmed Salim na familia, Mungu awape imani
Kuna trend Fulani hivi, kwa wazee Kama Hawa mmoja akitangulia huwa mwingine nae Ana muda mfupi atamfuata.
Siombei lakini.
 
Nimepoteza Class mate wangu, Forodhani Secondary School!

Nyumbani kwao palikuwa maeneo ya kisutu karibu na ilipo City mall

Pole sana Dr Salim, Allah ampe tahfeef, kuondolewa na Mke Mlezi ukiwa taaban kitandan ni mtihan Mkubwa sana sana
Classmate wa Mrs SAS? UKO 70+! ? Umekula chumvi ya kutosha mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…