Mke wako ana bosi wake?

Bora nyumbani huwazi sana usiku ukirudi unamkuta, huyo wa semina sasa.!!
Halafu simu iwe haipatikani akwambie chaji imeisha na ukiangalia nchi ipo kwenye mgao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Watu wafia dini hawataki kushughulisha akili zao
 
Jamaa ana mawazo ya kipimbi kweli, si bora aliwe na boss kuliko kuliwa na bodaboda.

Wasafiri tu hata waende nchi za nje mke wangu we nenda hata mwezi, ili mradi kazi ifanyike
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuajiriwa ni sawa na kuolewa, inakuwa ni kutii maelekezo, kama huwezi unapigwa chini. Kwa mtu anayejielewa ataajiriwa kwa kipindi fulani, baada ya kipindi hicho kupita atafanya yake.
Kwa hiyo, kama unataka hii changamoto isikutese, jitahidi ujiajiri wewe na mwenzako.​
 
Umeandika jambo la maana sana.
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…