atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Bora nyumbani huwazi sana usiku ukirudi unamkuta, huyo wa semina sasa.!!
Halafu simu iwe haipatikani akwambie chaji imeisha na ukiangalia nchi ipo kwenye mgao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]