Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Mkeo huwa anaoshwa miguu kisha kukaushwa na wataalamu wa kusafisha kucha?
Hii huduma imekuwa maarufu sana kwa wamama wa mjini, na wengi wao huwa wanapata huduma waume zao wakiwa kazini.
Mdau unasemaje juu ya hii huduma?
Zaidi soma:
www.jamiiforums.com
Hii huduma imekuwa maarufu sana kwa wamama wa mjini, na wengi wao huwa wanapata huduma waume zao wakiwa kazini.
Mdau unasemaje juu ya hii huduma?
Zaidi soma:
Mwanaume unaweza kukubali mkeo aoshwe miguu na kusuguliwa kucha na vijana wengine?
Nimekaa nimejiuliza sana lakini jibu linalokuja kichwani ni tofauti na ninayoyaona mtaani. Rejea kichwa juu. Una mke/mchumba unaweza kumruhusu asuguliwe miguu na kuoshwa kucha na vijana wanaofanya biashara hiyo? Una mume/ mchumba unaweza kukubali mumeo akafanye massage (kukandwa kandwa) na...