Hizo ndio Faida za kuoa mwanamke asijielewa yani mtu kwa akilizako unashidwa kuosha miguu yako ambayo tangu umezaliwa unayo. tena somo lenyewe la jinsi ya kuosha miguu na kupaka rangi unajifunza hata siku mbili haishi umeelewa.kwa mlioa wanawake wasiojiongeza mnatabu sana, binafsi mlioa siwashauli muanze kujifunza kuosha na kupaka rangi miguu bali muwafanye wake zenu waanze Kujielewe na kujitambua. kumbukeni ''KINGA NI BORA KULIKO TIBA'' haya leo unamuosha miguu kwa vile hupo nyumbani....haya je, siku umesafili kikazi nani atamwosha?....... 🏃😎