Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Mimi kuna siku nilikuwa na wife tukapita sehemu wanapooshwa na kupakwa rangi miguu. Wife akaanza kucheka, nikamuuliza "na wewe unataka ukaoshwe" huku nikiendelea kumtania unapitwa mambo mazuri, alikataa maana anajua nisingekubali hata kama angekubali kwa utani.
Mke wangu akitaka kurembwa nitamruhusu arembwe na mwanamke mwenzie tu, tena urembo pekee ambao Dini inauruhusu.
Mke wangu akitaka kurembwa nitamruhusu arembwe na mwanamke mwenzie tu, tena urembo pekee ambao Dini inauruhusu.