Huu ni wehu.Matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii njoooniii huku uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii njoooniii huku njoooniii huku
Kumekuchaaa kumekuchaaa kumekuchaaa kumekuchaaa kumekuchaaa kumekuchaaa
Kichaa mkubwa wewe Toka hapaHuu ni wehu.
MKUU kule kwenye siasa wacha tuparuane,HUKU NI mahusiano na kupoteza stressKichaa mkubwa wewe Toka hapa
Matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa
Huna adabu kabsaa
Ni sawa na MKE wako kwenda massage parlor[emoji3]
Hivi wanawake wenye vijitabia vya kipambavu kama hivi bado mnaishi nao.Mkeo huwa anaoshwa miguu kisha kukaushwa na wataalamu wa kusafisha kucha?
Hii huduma imekuwa maarufu sana kwa wamama wq mjini, na wengi wao huwa wanapata huduma waume zao wakiwa kazini.
Mdau unasemaje juu ya hii huduma?
Mkeo huwa anaoshwa miguu kisha kukaushwa na wataalamu wa kusafisha kucha?
Hii huduma imekuwa maarufu sana kwa wamama wa mjini, na wengi wao huwa wanapata huduma waume zao wakiwa kazini.
Mdau unasemaje juu ya hii huduma?
YelewiiiiiiKama mimi naenda kwenye massage ya wahindi pale town Tena body to body massage with happy ending
Sioni shida yeye kuoshwa miguu