Mke wako huwa anaoshwa miguu na kijana wake wa kutengeneza kucha?

Mimi kuna siku nilikuwa na wife tukapita sehemu wanapooshwa na kupakwa rangi miguu. Wife akaanza kucheka, nikamuuliza "na wewe unataka ukaoshwe" huku nikiendelea kumtania unapitwa mambo mazuri, alikataa maana anajua nisingekubali hata kama angekubali kwa utani.

Mke wangu akitaka kurembwa nitamruhusu arembwe na mwanamke mwenzie tu, tena urembo pekee ambao Dini inauruhusu.
 
Dunia imebadirika sana sahv ata wanawake wenzie sio wakuamini 100%
 
bora kuoshwa mguu,kuliko kukandwa mwili na njemba kwenye vituo vya massage...na kwa nni hivi vituo vipo vingi sana mikocheni na msasani?kunani...?
 
Ukichezea nyayo za miguu za mwanamke vizuri anachanganyikiwa..hawa waosha miguu wanawalowanisha panty sana hawa kinadada i guess.

Siwezi kuruhusu huu ujinga kabisa..mwanamke asiyeweza kuosha miguu mwenyewe ikangaa huyo sio wa kuoa.
 
Mkikataza wake zenu waoshwe miguu mjue nyuma yake kuna mtu anaitegemeza familia yake na jamii yake kwa hiyo kazi. Muhimu ni professionalism kwenye kila jambo.Tuache mawazo potofu. Mke au mume akijitambua sio tatizo kuoshwa miguu.
Asilimia kubwa wanaosha miguu ya wake za watu Wana wala, HILO NDILO TATIZO.

#YNWA
 
Na kweli maana hawaishii kuosha na kupaka rangi tu, wanafanya na massage ya miguu kutoka unyayo mpaka juu ya goti. Hapo mwanamke analainikaa, anatoa utelezi.

Baadae mwanamke anamtafuta mpaka rangi...."asante Sana Ila ujue umentia nyege". Mchezo unakua umeisha. Nikikumbuka

KigaKoyo alivyomla kimasihara bosi Rona.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…