Mke wako huwa anaoshwa miguu na kijana wake wa kutengeneza kucha?

Nyie nae.

Mnadhani ni rahisi Sana kuliwa kuwa ovyo eeeh?

Mwanamke lazima uwe na limits na ujielewe.

Unaenda kuosha miguu na micro mini unatarajia nini ? Si ataosha mpaka sketi/gauni inapofikia? Na ukikaa vibaya si atachungulia na nature ya wanaume ya kujaribu si atarusha ndoano?

It all comes back to your woman. What cloth is she cut from.

Kama ni wa kuliwa ovyo hata sio lazima akaoshe kucha Ili apate nyege....hapo tu jirani na home panamtosha.

Isitoshe foot spa zipo nyingi na sio zote wanahudumia wanaume so na wewe utachagua aende wapi.
 
Ukichezea nyayo za miguu za mwanamke vizuri anachanganyikiwa..hawa waosha miguu wanawalowanisha panty sana hawa kinadada i guess.

Siwezi kuruhusu huu ujinga kabisa..mwanamke asiyeweza kuosha miguu mwenyewe ikangaa huyo sio wa kuoa.
Ushasema you are guessing.

Yaani tulowane tu ovyo kwa wanaume ambao hatuwajui wapo kazini tu?

Mnatuchukulia poa sana nyie.

Itakuwa man doubts na sisi sababu mnakoendaga kunyoa kuna samsing behind.
 
Mkeo huwa anaoshwa miguu kisha kukaushwa na wataalamu wa kusafisha kucha?

Hii huduma imekuwa maarufu sana kwa wamama wa mjini, na wengi wao huwa wanapata huduma waume zao wakiwa kazini.

Mdau unasemaje juu ya hii huduma?
Ndo mambo kama haya
 

Attachments

  • VID-20210330-WA0031.mp4
    859.9 KB
Hiyo iko wazi wazi jombaaaaa. Hamna mwanamke atakayefanyiwa hayo yote alafu K isuloane, HAYUPO nakama YUPO NI MWONGO.

Na kwakua Wengine unakuta Jamaa zao hawachezi na miili yao, baaaaasi ndo tiketi

Ukute Mwanaume ndo mzee wa safar, au mikoa mbalimbali au mzee wa dakika mbili ... Ndo baaaaaaaaaaasi
 
Ila Karucee jifikirie, hivi nichezee vidole vyako vya miguu, nikuoshe unyayo (kwa jiwe lile Kama sponji), nikumassage kifundo, nichore 8 nyuma ya goti halafu usilowe, Sina hakika asee.

Uzuri mke wangu kipenzi changu havai nguo fupi na haoshi miguu vijiweni. Nina nail cutter nyumbani na rangi za kucha anazo.
 
Kivipi yaani? Kulowa ni as a result of sexual stimulation. Why uruhusu mtoa hudumu aweke mbali professionalism akutekenye?

Unauwezo kabisa wa kumuambia stop ama hivyo sivyo kama unahisi anavuka mpaka.

Kubeba vifaa vyako mfano nail cutter na cuticle remover ni muhimu Sana katika shughuli hiyo.
 
amini ni wako pekee........yaani niache kutafuta pesa na kupiga mma...nihangaike kuosha sijui kucha, miguu....hata ukiwa unamtawaza ili utie nusu ukucha..(suna).....kama umeoa kahaba uwe mpole...ataliwa tuu.....mwanamke ni yule yule.......tuwapende tuu...wana vitu vitamu mnoooo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…