nyboma
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 2,308
- 7,366
Siku ukipata matatizo utakuja kufungua huu uzi na kukumbuka haya niliyoandika leo..
Mke, watoto na ndugu wa kuzaliwa ndio ndugu zako, maana hawa wanawake tunaowaita michepeko wapo na wewe muda huu kwa kuwa una hela.
Niwe muwazi kwa hili ukiwa na pesa “You can https://jamii.app/JFUserGuide any woman around you” maana ndio wanachopenda.
Usiku huu nanawisha mikono na maji ya moto na mke wangu wa ndoa, nimejikuta nikikumbuka mikasa mbalimbali na wanawake wa mjini.
Hivyo, nawaasa vijana ambao hawajaoa kabla ya kuuvaa mkenge basi jaribu kumshirikisha Mungu akupe mke mwema maana ulimwengu wa sasa umechafuka.
Kisa kidogo tu nilitembelea kijijini kwetu ma V8 nyeusi, nisiwe mnafiki nilikula mabinti karibu wote kisa gari tu, hivyo huko vijijini pia kumeharibika sana..
Kila la kheri kwa vijana ambao wanataka kuingia kwenye ndoa.