Mke wako wako asikuzidi jina, nyumba yako itambulike kwa baba au mzee fulani na sio kwa mama au bibi fulani


Ukiona Mtu hujulikana mtaani kwàke ujue hata shughuli za kijamii hasa michango hahusiki.

MTU unaweza kuwa Mbali lakini Ukawa active mtaani kwako
 
Wanawake hujulikana sana kwasababu wanaonekana mara nyingi mtaani lakini mwanaume hana muda huo hivyo ni ngumu kuwa maarufu. Niliichoona huku mtaani huwa wanasema kwa mama fulani( jina la mume)
 
Wanawake hujulikana sana kwasababu wanaonekana mara nyingi mtaani lakini mwanaume hana muda huo hivyo ni ngumu kuwa maarufu. Niliichoona huku mtaani huwa wanasema kwa mama fulani( jina la mume)

Jina la Mume NI Sahihi lakini jina la Mtoto au ûkoo wa Mke hiyo umekwisha
 

Wanaume hawashindi majumbani, hawashiriki mambo madogo madogo mtaani,,
Muda mwingi wanaume wapo nje na Nyumbani kwa shuhuli za kiutaftaji kurudi wikiendi
Hakuna namna, nyumba itatambulika tu kwa Mama x
 
Kwamba mnataka na wanaume waanze kushinda vibarazani wakikuna nazi na kusukana ili wawe maarufu kuliko wake zao??
Huyo mleta mada mwenyewe anafugwa na binti Kimoso na binti Kimoso ana jina kubwa hapa mtaani kuliko yeye.

Anawasumbua tu humu JF, kwa tunayeishi naye mtaa mmoja na tunayemfahamu huyo ni marioo tu.
 
Wanaume hawashindi majumbani, hawapigi umbea na watu wengi walio wazunguka,
Wanaume wengi muda mwingi wapo nje na Nyumbani kurudi wikiendi
Hakuna namna nyumba itatambulika tu kwa mama x
Jina la familia halijengwi na Umbea au kushinda Nyumbani

Kama wanamuona Mkeo ndîo incharge lazima wapaite Kwa Mama Fulani

Bora wamuite Mama Mpare wakikutaja lakini kumuita Mama Muha Wakati Mumewe NI wewe Mpare Jua Hapo incharge NI Mke
 
umekwisha man!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…