Mke wako wako asikuzidi jina, nyumba yako itambulike kwa baba au mzee fulani na sio kwa mama au bibi fulani

Mke wako wako asikuzidi jina, nyumba yako itambulike kwa baba au mzee fulani na sio kwa mama au bibi fulani

Taikon wa Fasihi Kuna sehemu kama Ume fail kufikiria Vizuri, Mostly Men ni Low Profile mitaani uko unless awe political figure, Ntakupa Mfano wangu Mimi familia Nime center Sehemu fulani let say Kibaha ila throughout my life nimekuwa mtu wa Trips za Mikoani sana Tangu niwahamishie pale Nimekaa sana Home ni siku nne napotea Sasa Wife na watoto wao ndio Wako busy na huo mtaa kwanini Pale watu wasipaite kwa mama fulani? Sijawahi Kuwaza kabisa kama hio ni shida na Mimi ni very low profile hata majirani tu wengi hawanijui na wala sioni umuhimu wa Kujulikana hapo mtaani

Ukiona Mtu hujulikana mtaani kwàke ujue hata shughuli za kijamii hasa michango hahusiki.

MTU unaweza kuwa Mbali lakini Ukawa active mtaani kwako
 
Wanawake hujulikana sana kwasababu wanaonekana mara nyingi mtaani lakini mwanaume hana muda huo hivyo ni ngumu kuwa maarufu. Niliichoona huku mtaani huwa wanasema kwa mama fulani( jina la mume)
 
Wanawake hujulikana sana kwasababu wanaonekana mara nyingi mtaani lakini mwanaume hana muda huo hivyo ni ngumu kuwa maarufu. Niliichoona huku mtaani huwa wanasema kwa mama fulani( jina la mume)

Jina la Mume NI Sahihi lakini jina la Mtoto au ûkoo wa Mke hiyo umekwisha
 
MKE WAKO WAKO ASIKUZIDI JINA, NYUMBA YAKO ITAMBULIKE KWA BABA AU MZEE FULANI NA SIÔ KWA MAMA AU BIBI FULANI.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Moja ya dalili kuwa Mwanaume umefeli ni Nyumba yako kutambulika Hapo mtaani Kwa jina la Mkeo.
Utasikia pale Kwa Mama Taikon, au Kwa Bibi Zeituni,
Nyumbani Kwa Mama Richard.

My friend ikifikia sehemu àmbayo NI yako alafu inatajwa Kwa Jina la Mkeo Jua kûna sehemu muhimu na nyeti umeshindwa kama Mwanaume na kama Baba.

Úkiwa kama Mwanaume muwajibikaji na unayejua majukumu yako jina Lako NI Moja ya Jambo nyeti kulilinda na kulikuza.

Siô Sifa nzuri Nyumba yako iitwe Kwa Jina la Mwanamke NI kwamba wewe Huna lolote. Wewe siô kichwa, wewe sio mtawala yàani upoupo.

NI Sawasawa na úwe Rais WA nchi hii alafu nchi jirani na Huko kimataifa Waiite nchi yako Kwa Jina la Makamu wako au Waziri Mkuu. Hiyo kiutawala Moja Kwa moja inaashiria kuwa Rais Hana chake Hapo.

Nyumba yako iitwe Kwa majina yako au ûkoo wenu.
Kwa Mzee Magufuli,
Kwa Mzee Kikwete,
Kwa Mzee Taikon
Kwa Mzee Mwinyi n.k.

Hata familia yako itambulishwe Kwa Jina laki au ubini wako.
Siô familia ya Mama au Bibi Fulani nop. Hiyo siô dalili nzuri kiutawala.

NI dalili ya kuwa haukuwa active enzi za ujana wako.

Moja ya mambo àmbayo Mungu alimuahidi Ibrahim ni kukuza jina lake na alilikuza. Hata Watoto na wajukuu wake Miaka nenda rudi huitwa Watoto na kizazi cha Ibrahim.
Pia hujulikana kama Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo.

Au Mungu wa mababu zetu.
Kitendo cha kukubali Mkeo au Mwanamke akuzidi kete ni kuruhusu Miaka ijayo aitwe Mungu wa Bibi zetu Jambo ambalo kiutawala hasa WA kiroho halipo.

Familia ambazo mama amebeba jina huwaga hazinaga kizazi kirefu Katika mafanikio.

Jina Lako lina thamani. Thamani hiyo lazima Uilinde.
Kiasi kwamba Siku ukiwa haupo Watoto na wajukuu zako wajivunie jina Lako.

Hata Mwanamke hujivunia kuitwa jina la Mwanaume mwenye heshima na legacy Kwa Wakati wake.
Mwanamke Hawezi kubali kubadili jina la ûkoo wake na kuitwa jina Lako kama hajivunii wewe, kama anakuona hujielewi.

Anakuona wewe sio shujaa,

Wanawake wanapenda Wanaume mashujaa, Malegend.
Mwanamke unaweza kukosa Pesa lakini Kama Unajina lenye heshima anaweza kukubali kuishi na wéwe na Kutumia.

Àndiko Hili nimeliandika nikilenga kukuhamasisha kijana upambane, onyesha wewe NI Nani hasa, onyesha wewe NI Mwanaume àmbaye Mwanamke yeyote atajivunia wewe.
Usiwe legelege, jina Lako litadharauliwa. Hakuna atakayeliheshimu jina Lako.
Na kama jina Lako haliheshimiwi Basi hata Mkeo na Watoto na kizazi chako hakitaheshimiwa.

Chochote unachofanya kifanye Kwa weledi na Ñguvu zako zote kuhakikisha unajenga heshima.
Hata kama unashona Viatu, Shona Kwa kiwango cha juu, kwako pataitwa Kwa Fulani mshona Viatu mashuhuri. Hiyo NI heshima kûbwa kuliko kuzubaa zubaa.

Wewe ni Mwanaume hakikisha jina Lako unalilinda na kulipa thamani ili Mungu alikuze na watu wakuheshimu.

Acha nipumzike sasa

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam

Wanaume hawashindi majumbani, hawashiriki mambo madogo madogo mtaani,,
Muda mwingi wanaume wapo nje na Nyumbani kwa shuhuli za kiutaftaji kurudi wikiendi
Hakuna namna, nyumba itatambulika tu kwa Mama x
 
Kwamba mnataka na wanaume waanze kushinda vibarazani wakikuna nazi na kusukana ili wawe maarufu kuliko wake zao??
Huyo mleta mada mwenyewe anafugwa na binti Kimoso na binti Kimoso ana jina kubwa hapa mtaani kuliko yeye.

Anawasumbua tu humu JF, kwa tunayeishi naye mtaa mmoja na tunayemfahamu huyo ni marioo tu.
 
Wanaume hawashindi majumbani, hawapigi umbea na watu wengi walio wazunguka,
Wanaume wengi muda mwingi wapo nje na Nyumbani kurudi wikiendi
Hakuna namna nyumba itatambulika tu kwa mama x
Jina la familia halijengwi na Umbea au kushinda Nyumbani

Kama wanamuona Mkeo ndîo incharge lazima wapaite Kwa Mama Fulani

Bora wamuite Mama Mpare wakikutaja lakini kumuita Mama Muha Wakati Mumewe NI wewe Mpare Jua Hapo incharge NI Mke
 
Kuna watu mnapata shida sana na vitu vidogo dogo tu.Mnapenda kukuza jambo..mm kwangu panatambulika kwa mama masanja maana kuna frem pale na mke wangu ana duka pale kwa hiyo wateja mm hata hawanifaham wamezoea jina la mke wangu mpaka boda boda ukiulizia jina langu ni shida ila ulizia hata vitue vitatu nyuma naenda kwa mama masanja fasta tu unapelekwa bila hata kuelekeza.Kuna vitu mnavipa umuhim lakini ni vidogo sana.Nyumba nyingi mtaani zinatambulika kwa majina ya wanawake maana wao ndo washinda nyumbani.
umekwisha man!!!
 
Back
Top Bottom