Mke wako wako asikuzidi jina, nyumba yako itambulike kwa baba au mzee fulani na sio kwa mama au bibi fulani


Huyo Masanja NI Nani?
 
wife ni mtu wa saloni na nimemfungulia nyumbani kwa hiyo nianze kung'ang'ania jina ili iweje wakati wanamfahamu kwa jina kazi yke inakuja kweli,
 
ukioa zuchu unahisi nyumban kwako patatambulikaje?
strong men huwa hawa compete with their women
 
Hapo ndio penyewe mkuu,Mimi na nyumba yangu Tutamshujudia Bwana!
 
Ushauri wako ni mzuri sana ila kwa kiongezea tu nasema watu wasioe kabisa. Ndoa ni utapeli. Kataa ndoa
 
Ikienda ikulu, unamuulizia Samia au baba abdul ?
 
Kwa Bwana shamba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…