Mke wako wako asikuzidi jina, nyumba yako itambulike kwa baba au mzee fulani na sio kwa mama au bibi fulani

Tatizo ninaloliona kwa ujumbe wa andiko hili ni kuwako hofu au shaka ya uanamme. Kwamba kuna wasiwasi wa uanamme wa mwanamme kutoonekana au kuthaminiwa.

Kwa hali hiyo, ujumbe wa hapa naona una lengo la kutengeneza stress kwa wanamme na migogoro, labda kwa makusudi au bahati mbaya.

Suala la kuulinda uanamme wako ni kitu kilicho ndani yako na wala huwa hakitegemei sauti za nje wala aina yoyote ya misukumo ya nje. Wewe ni mwanamme nawe ukijijua hivyo inatosha.

Ova
 
Msicomplecate maisha.. Mie natoka asubuhi narudi saa 2 usiku, mke wangu yupo home siku zote.. Yeye mdio anachangamana na jamii ya mtaani kwangu zaidi, unadhani kwamgu kutaitwa kwa baba makaveli Jr au mama makaveli Jr.?
 
Ngoja nifanye uchunguzi hapa tulipopanga familia nane panajulikana kwa mama au baba nani.
Utapewa jina la Mama fulani...Wababa ni nadra sana....

Sasa mimi nyumbani hata ukiwa unamuelekeza Boda....anakuambia pale kwa wale watoto wale😅inabidi tu tuwatumie wao zaidi...
 
Issue ni interaction je mwanaume una muda wakufanyia shughuli zako nyumbani Kwa muda mwingi kama mwanamke mpaka ujulikana?Ni kawaida mama Fulani ukakuta anafamika mtaani mpaka na watoto lakini baba Fulani ukaambiwa hawamjui?ukitaka maarufu kwako labda ufungue biashara na uisimamie mwenyewe hapo mtaani Tena bila kumhusisha mkeo ndio unaweza pata umaarufu.Ila kama ndio wale wa kuonekana Kwa maneti sahau i
 
"NI Sawasawa na úwe Rais WA nchi hii alafu nchi jirani na Huko kimataifa Waiite nchi yako Kwa Jina la Makamu wako au Waziri Mkuu. Hiyo kiutawala Moja Kwa moja inaashiria kuwa Rais Hana chake Hapo."

kwa hiyo Rais wa israel amefeli kwa mgongo wa Netanyahu
 
Tatizo ninaloliona kwa ujumbe wa 3andiko hili ni kuwako hofu au shaka ya uanamme. Kwamba kuna wasiwasi wa uanamme wa mwanamme kutoonekana au kuthaminiwa.

Mwanaume kuwa active.

Kwa hali hiyo, ujumbe wa hapa naona una lengo la kutengeneza stress kwa wanamme na migogoro, labda kwa makusudi au bahati mbaya.
Ujûmbe Hapa unalenga Wanaume tuendelee kushikilia wajibu na majukumu yetu. Tuwe strong, tupambane, tuwe hodari na mashujaa automatically Majina yetu yataleta heshima kwèñye familia na jamii Kwa ujumla.

Suala la kuulinda uanamme wako ni kitu kilicho ndani yako na wala huwa hakitegemei sauti za nje wala aina yoyote ya misukumo ya nje. Wewe ni mwanamme nawe ukijijua hivyo inatosha.

Ova

Uanaume upo ndàni na nje ya Mwanaume Husika

Jina ni Moja ya nembo ya Mwanaume.
Ndîo maana Watoto wengi wanaitwa Majina ya Mwanaume na siô Mwanamke.
Jina NI tukufu, Umiliki, na ufahari.

HUwezi kumtaja Mwanaume ukapuuzia jina lake. Jina ñdilo identity na ulinzi wa kizazi Siku àmbayo Mwanaume hatakuwepo.

Mungu anapombariki Mtu(Mwanaume )hubariki mambo yafuatayo;
1. Jina lake
2. Uzao wake.
3. KAZI yake
4. mji na Taífa lake.

Vijana lazima wawe Strong kuhakikisha hayo yanafanyika.

Unapozungumzia Mji Unazungumzia ufalme.

Mke anaweza Kutumia majina ya Mumewe na pasiharibike kitu. Mfano Kwa Maria Nyerere, Moja Kwa Moja Watu WANAJUA hiyo ni milki ya Nyerere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…