Mr mgeni
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 1,222
- 805
Hata aibu haoni anakua mkali Balaa nikiomba chakula cha usiku ananiambia kachoka nisimsumbue na siku nikipewa ni kimoja tu ndo naruhusiwa kupiga hataki zaidi ya hapo.
Tatizo ni kwamba ananipa wakati mgumu na kumsaliti sitaki.Nimejaribu kuongea nae Kwa uzuri lakini hanielewi sikutaka kuwapa faida watu wa nje kuwaeleza matatizo yangu ya ndani.Naimani humu naweza kupata ushauri mzuri.