Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo nchi unayoishi mwanamke ni mmoja tu?Hata aibu haoni anakua mkali Balaa nikiomba chakula cha usiku ananiambia kachoka nisimsumbue na siku nikipewa ni kimoja tu ndo naruhusiwa kupiga hataki zaidi ya hapo.
Tatizo ni kwamba ananipa wakati mgumu na kumsaliti sitaki.Nimejaribu kuongea nae Kwa uzuri lakini hanielewi sikutaka kuwapa faida watu wa nje kuwaeleza matatizo yangu ya ndani.Naimani humu naweza kupata ushauri mzuri.
We uoni kunyimwa unyumba tayari familia imeshavurugwa,wapo wengi ila daaa..unajua mkuu ukisha zaa na mwanamke si vema kuchepuka naweza nikavuruga familia
Hata awe kiburi vipi...akiona uombi wala hauna shida na nyapu yake atahisi unamchepuko so wivu utamshika, na atajirekebisha.Nahisi nitaongeza tatizo maana wife mwenyewe ni kiburi vilevile
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sasa ulitaka hasira azimalizie kwa nani wakat ameshajua wewe ndio mnyonge wake.
Si bora wewe anakumalizia hasira sababu ya kazi nyingi! wengine wanamaliziwa hasira kwa sababu ya mchepuko umemchefua huko nje😀😀😀Hata aibu haoni anakua mkali Balaa nikiomba chakula cha usiku ananiambia kachoka nisimsumbue na siku nikipewa ni kimoja tu ndo naruhusiwa kupiga hataki zaidi ya hapo.
Tatizo ni kwamba ananipa wakati mgumu na kumsaliti sitaki.Nimejaribu kuongea nae Kwa uzuri lakini hanielewi sikutaka kuwapa faida watu wa nje kuwaeleza matatizo yangu ya ndani.Naimani humu naweza kupata ushauri mzuri.
mwenye matatizo ni wewe umemuendekeza huyo m/mke. Siku akikunyima amka washa gari urudi asubuhi. Akikunyima tena fanya hivyo uone kama atanyooka. Unalea maradhi mwenyewe halafu unaogopa kufaKwani mshenga ndio alimtongozea??
Mimi tutongozane na wewe, tukubaliane kuishi wote, unizingue nianze kumwambia mtu niliyemtuma tu kwa wazazi wako?
Isitoshe yawezekana hata wewe hakufahamu
Hata aibu haoni anakua mkali Balaa nikiomba chakula cha usiku ananiambia kachoka nisimsumbue na siku nikipewa ni kimoja tu ndo naruhusiwa kupiga hataki zaidi ya hapo.
Tatizo ni kwamba ananipa wakati mgumu na kumsaliti sitaki.Nimejaribu kuongea nae Kwa uzuri lakini hanielewi sikutaka kuwapa faida watu wa nje kuwaeleza matatizo yangu ya ndani.Naimani humu naweza kupata ushauri mzuri.
Hata aibu haoni anakua mkali Balaa nikiomba chakula cha usiku ananiambia kachoka nisimsumbue na siku nikipewa ni kimoja tu ndo naruhusiwa kupiga hataki zaidi ya hapo.
Tatizo ni kwamba ananipa wakati mgumu na kumsaliti sitaki.Nimejaribu kuongea nae Kwa uzuri lakini hanielewi sikutaka kuwapa faida watu wa nje kuwaeleza matatizo yangu ya ndani.Naimani humu naweza kupata ushauri mzuri.
Mkuu nimesema kwenye comment yangu kuwa "Mume unapaswa kusimama kama Mwanaume", hii ina maana kubwa sana, kusimama kama Mwanaume katika ndoa ni pamoja na kuhakikisha unaitunza familia yako na pia unakuwa "imara" katika tendo la ndoa ikiwa ni kuhakikisha huyo Mkeo anafurahia tendo la ndoa.😀😀😀😀😀😀😀 kweli MUNGU anakupa wa kufanana naye!yaan ww ungenioa alafu uniambie hayo maneno! dah labda km unanitimizia mahitaji yangu yote!
hamjawajua tu wanawake...mwanamke km anakataa sex na mumewe mostly humridhishi! ndo maana anapewa ki1! aisee jipelelezeni mgeuke!
Kweli kabisa, pia inawezekana huyu jamaa kwenye lile tendo la ndoa analega lega ndiyo maana Mke anamdharau, hata kama Mwanamke anakipato kikubwa kukuzidi lakini wewe Mume ukiwa "imara" kwenye tendo la ndoa huyu Mwanamke atakuwa kama "Mbwa" mbele ya Chatu, yaani atakuwa hana ujanja mbele yako.Kuna mawili. Either mke anakipato kijubwa kuliko yeye. Au mchiz amekosa msimamo.
Hujaelewa nilichokiandika kabisa, hebu soma vizuri utaelewa nimemaanisha nini kwenye comment yangu. Neno "kusimama kama Mume" lina maana kubwa sana, na siyo kutumia mabavu.Fanya hivyo inchi za wenzetu uone km hujapewa kesi ya kubaka..unacheza wewe.
Mkuu nimesema kwenye comment yangu kuwa "Mume unapaswa kusimama kama Mwanaume", hii ina maana kubwa sana, kusimama kama Mwanaume katika ndoa ni pamoja na kuhakikisha unaitunza familia yako na pia unakuwa "imara" katika tendo la ndoa ikiwa ni kuhakikisha huyo Mkeo anafurahia tendo la ndoa.
Kusimama kama Mume siyo kutumia mabavu kama wewe ulivyoelewa, bali ni kutumia Uanaume wako na mamlaka uliyonayo ndani ya taasisi hii inayoitwa "ndoa". Ukisimama kama Mume kweli kweli Mke hawezi kukunyima "unyumba" bali ukiona Mke anaanza kukunyima unyumba basi fahamu hapo umedharauliwa sana na kosa ni wewe Mume kutosimama kama Mume ndani ya ndoa yako.