Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Sasa we unaona hilo ni jambo la kujivunia mtu wangu? I never understand kwanini wanawake wa sikuhizi mpo so arrogant? Umeolewa kwa furaha na mamilioni yalitumika kuudhihirishia ulimwengu kuwa mmependana haswa!
Kinachofanya baada ya mwaka au miwili ya ndoa kuona mumeo ni msumbufu akitaka Cooma ama tendo la kuwaunganisha kimwili na kiroho ni kitu gani halafu unakuta kuna mtu very irresponsible unamtanulia mapaja tani yake bila vikwazo?
Do you think thats a fair thing to do kwa mume wako! Mbona mnakosa utu kiasi hicho nyie watu? Mtu anaekulisha, akakuvisha na kukupeleka hospitali ukiumwa ndio hana maana ila unayekutana nae barabarani anakuwa wa maana kuliko! Halafu unaboast kabisa kwamba una HQ!?
pole kaka