Kwani mshenga ndio alimtongozea??Ongea na mshenga kama haelewi
Kwani kabla hamjaona mlikuwa mnagegedana bao ngapi? Au wewe ndo wale kupewa tunda hadi uowe kwanza?Hata aibu haoni anakua mkali Balaa nikiomba chakula cha usiku ananiambia kachoka nisimsumbue na siku nikipewa ni kimoja tu ndo naruhusiwa kupiga hataki zaidi ya hapo.
Tatizo ni kwamba ananipa wakati mgumu na kumsaliti sitaki.Nimejaribu kuongea nae Kwa uzuri lakini hanielewi sikutaka kuwapa faida watu wa nje kuwaeleza matatizo yangu ya ndani.Naimani humu naweza kupata ushauri mzuri.
Mwambie mkeo anapaswa kufahamu kwamba hana amri juu ya mwili wake, bali wewe kama Mume ndiye mwenye amri juu ya huo mwili. Wewe ni kichwa na kichwa siku zote ndiyo hutoa maamuzi ya nini mwili ufanye. Unapaswa kusimama kama Mume la sivyo huyo mkeo atakukalia kichwani.
Dah....kazi kuu ya mwanamke no kumfariji mwanaume....kazi kuu ya mwanaume ni kumlinda mwanamke....nje ya hapo ni majanga....[emoji41]Hata aibu haoni anakua mkali Balaa nikiomba chakula cha usiku ananiambia kachoka nisimsumbue na siku nikipewa ni kimoja tu ndo naruhusiwa kupiga hataki zaidi ya hapo.
Tatizo ni kwamba ananipa wakati mgumu na kumsaliti sitaki.Nimejaribu kuongea nae Kwa uzuri lakini hanielewi sikutaka kuwapa faida watu wa nje kuwaeleza matatizo yangu ya ndani.Naimani humu naweza kupata ushauri mzuri.
Dah....shughuli ya mwanamke ni baada ya jua kuzama... nothing else[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama unajiweza, mwachishe kazi atulie home huku unamtafutia shughuli ingine ya kufanya.
Yep! Kama Arabuni... Mwanamke hata sokoni haendi...Dah....shughuli ya mwanamke ni baada ya jua kuzama... nothing else[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna mambo mawili...
1- Kuna jamaa anakusaidia kumkula mkeo..
2- Kitandani hauna mambo, anaona unamchosha/unampotezea muda/unampaka jasho...
Haya matatizo ya kuyimwa yanaongezeka siku hadi siku.