Mke wangu akichoshwa na kazi hasira anazimalizia kwangu

Kuna mawili. Either mke anakipato kijubwa kuliko yeye. Au mchiz amekosa msimamo.
 
Ni kawaida kuchoka Hawa watu. Ndio mana tukaruhusiwa kuongeza mke wapili watatu na wanne. Upo. Acha kulalamika usimchoshe huyo we ongeza mke.
 
Hiyo avata yako natamani nije pm kamq hautajali
 
Chukua ushauri huu...
Susa kuanzia chakula anachopika hadi nyapu yake kwa wiki mbili.

Ukirudi kutoka job kula huko huko, ongea naye vyema na Kama hela ya msosi acha Kama kawaida na majukumu mengine timiza.
Lakini msosi na mbunye susia...

Then lete mrejesho hapa.

Mwanamke hujiskia vibaya Sana apike usile!!
 
Fanya hivyo inchi za wenzetu uone km hujapewa kesi ya kubaka..unacheza wewe.
 
Nahisi nitaongeza tatizo maana wife mwenyewe ni kiburi vilevile
 
tatizo mkuu wanawake waliosoma sana ni majanga tu mda mwingine
 

kuwa na mchepuko.haoni umiumu wako kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…