Mke wangu akichoshwa na kazi hasira anazimalizia kwangu

Hiyo nchi unayoishi mwanamke ni mmoja tu?
 
Nahisi nitaongeza tatizo maana wife mwenyewe ni kiburi vilevile
Hata awe kiburi vipi...akiona uombi wala hauna shida na nyapu yake atahisi unamchepuko so wivu utamshika, na atajirekebisha.

Mimi nimekupa ushauri

Pia usimnyime makofi labda ndio alichomiss!!
 
Si bora wewe anakumalizia hasira sababu ya kazi nyingi! wengine wanamaliziwa hasira kwa sababu ya mchepuko umemchefua huko njeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kwani mshenga ndio alimtongozea??
Mimi tutongozane na wewe, tukubaliane kuishi wote, unizingue nianze kumwambia mtu niliyemtuma tu kwa wazazi wako?
Isitoshe yawezekana hata wewe hakufahamu
mwenye matatizo ni wewe umemuendekeza huyo m/mke. Siku akikunyima amka washa gari urudi asubuhi. Akikunyima tena fanya hivyo uone kama atanyooka. Unalea maradhi mwenyewe halafu unaogopa kufa
 

Bilateral Shaka wewe utakuwa Mkiristu. Waislamu hatupelekeshwi hivyo, kwa kuwa Ana kuwa muoga na opposition parties.
 

Bila Shaka wewe utakuwa Mkiristo. Kwetu waislamu hatupelekeshwi hivyo, kwa kuwa ana kuwa muoga wa opposition parties.
 
tsh!!!!! Yaani huyo dada ana kamchepuko kanakomchosha sana wewe anakuona takataka akilikulinganisha na hako kajamaa!!! Tatizo unaonekana muoga. Fuata ushauri ulioambia susa kil;a kitu hapo nyumbani -ukiambiwa kula unasingizia kuchoka hata saa nyingine hakuna kuoga ukiulizwa unajidai kuchoka .atatafuta suluhu mwenyewe. La sivyo mpandishe cheo awe mke mkubwa. Ila jinsi ulivyo muoga nashangaa kwanini umeomba ushauri
 
Mkuu nimesema kwenye comment yangu kuwa "Mume unapaswa kusimama kama Mwanaume", hii ina maana kubwa sana, kusimama kama Mwanaume katika ndoa ni pamoja na kuhakikisha unaitunza familia yako na pia unakuwa "imara" katika tendo la ndoa ikiwa ni kuhakikisha huyo Mkeo anafurahia tendo la ndoa.

Kusimama kama Mume siyo kutumia mabavu kama wewe ulivyoelewa, bali ni kutumia Uanaume wako na mamlaka uliyonayo ndani ya taasisi hii inayoitwa "ndoa". Ukisimama kama Mume kweli kweli Mke hawezi kukunyima "unyumba" bali ukiona Mke anaanza kukunyima unyumba basi fahamu hapo umedharauliwa sana na kosa ni wewe Mume kutosimama kama Mume ndani ya ndoa yako.
 
Kuna mawili. Either mke anakipato kijubwa kuliko yeye. Au mchiz amekosa msimamo.
Kweli kabisa, pia inawezekana huyu jamaa kwenye lile tendo la ndoa analega lega ndiyo maana Mke anamdharau, hata kama Mwanamke anakipato kikubwa kukuzidi lakini wewe Mume ukiwa "imara" kwenye tendo la ndoa huyu Mwanamke atakuwa kama "Mbwa" mbele ya Chatu, yaani atakuwa hana ujanja mbele yako.
 
Fanya hivyo inchi za wenzetu uone km hujapewa kesi ya kubaka..unacheza wewe.
Hujaelewa nilichokiandika kabisa, hebu soma vizuri utaelewa nimemaanisha nini kwenye comment yangu. Neno "kusimama kama Mume" lina maana kubwa sana, na siyo kutumia mabavu.
 


NAOMBA KWA RIDHAA YAKO NIIPRINT MKUU!

ILA WAPE ELIMU WANAUME WENZIO KWAKWELI KAMA UNAJALI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…