Mke wangu akiwa nami 'full kununa' ila tukiwa na rafiki zangu anatabasamu na kucheka sana

Namsifu ana busara angekutana na siye kina mwajuma mnuno unaanzia ndani mpaka nje
watu wanabaki kufinyana

bro solve issues na mkeo inawezekana kuna mambo hayapo sawa or haumpi vizuri
Sasa mtu kwenye Mambo anatoa ushirikiano hadi mwisho ila tatizo unaona liko palepale
 
baadhi ya wanawake ni wahanga wa hali hiyo hasa kama migogoro ya ndani haipati ufumbuzi, kiasili mwanaume hupotezea mambo bt ke hutunza ndo maana unaweza gombana na mkeo akawa anakumbushia hata yalopita miaka 2 nyuma kitu ambacho ni tofauti kwa wanaume

jitahidi kutatua changamoto za ndani kwa wakati ili kuwe na amani ndani kwako..
 
Labda maana kwa hali hii hapana
 
Una kibamia au gwaride halimtoshi
 
Inawezekana wewe huwaga hunaga story za utani utani na mkeo,at least wakija washikaji zako mnataniana na unafurahi naye anafurahi pia.Cheki upya style yako ya maisha hapo home kwako,pia yeye hajawahi kuona tabasamu lako usikute.

Ukikuta mkeo anakuogopa kupitiliza hata hakufanyii mzaha wowote,ujue hiyo ndoa inamtesa sana
 
Easy tu. Mkuu

Mpandishe cheo tu inaonekana cheo alichonacho amekichoka ana miaka kadhaa hajapanda daraja usiwe kama jpm mkuu toka aanze kazi ya kuwa mke anatumikia daraja la TGTS B

KIFUPI ONGEZA MKE AWE MKE MKUBWA
 
Mkuu ila hizi zinazoitwa SIRI muda "mwingine" ni hatari saana ...kwa ustawi wa ndoa .
 
1. Haupo fun wala huna story za mara kwa mara au labda personality zenu zinafanana kama ni wakimya au labda hazirandani, mwenzio labda anapenda story af ww unapenda ukimya automatically anakuona Boring

2. Mmezoeana na mnaishi kimazoea yaani kama ubunifu wa kutengeneza furaha ndogo ndogo ni kama upo ukingoni. Kiufupi Hakuna bashasha wala hakuna jipya

3. Mazoea yetu ya kibongo kwenda extra miles kwa ajili ya kufurahisha wageni au ndugu ili kutengeneza CV nzuri ya Nyumba hata kama ndani kunaungua. mfano kutumia vyombo au vyakula special , kuacha kutumia Pc au smartphones ilhali ni addicts wazuri tu

Ila Wote humu Tunabashiri tu maana hakuna anaekujua wewe wala mkeo katika personal level hivyo, majibu sahihi zaidi yapo humo humo ndani mwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…