Mke wangu akiwa nami 'full kununa' ila tukiwa na rafiki zangu anatabasamu na kucheka sana

Sipendi manawake ya style iyo,yanapenda kununa, kukasilika na kutoa majibu yamkato.

Tunaambiwa "Usikosee kuowa" ukipata mke mwema shukulu sana kiongozi.
Hahahah wanakera kinoma yani mie sasa huyo mke wa hivyo ndio lazima nimzabue mikofi! Akinijibu kishoga namuwasha kofi!
 
Ahahahahah manzi ni snitch laaana[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah..wanawake ni viumbe wa ajabu snaa..ila mi nimeshawazoea skuhiz huwa nakaa kimya tu....

Kuna sku1 tuko na shemej yenu mitaa ya goba kwenye baa moja inaitwa triple b...sasa wale jamaa wana counter nying nying pale..mi napendaga kaa kaunta ya nyuma hapa kuna dada m1 yuko kaunta hapo ana shape ya ajab..sasa amenizoea flan..bas namwambiaga ukiniona na shemej yako uwe na adab.sasa nikiwa nae tunakula vitu...huyo dada wa kaunta anakuja tuhudumia mwenyew.yaan anatoka kaunta kwa ajil yetu....sasa sku1 kaja wakat anauliza vinywaj akamuuliza shemej yenu pekee yake..mi akaniacha sabab anajua vtu vyangu..sasaa alivyotoka...shemej yenu akasema "hee mbona hajakuuliza..anakutaka nin"

Ikabid nianze kucheka...akasema..."huyo dada simtak atuhudumie hapa"....nkasema sawa mama ucjal hatotuhudumia tena.

Alinuna usikumzima...et.."yule dada anakuchekea anakutaka yule..nmegundua kitu...sio kawaida"

Mi ilibid niwe nacheka tu nkasema..dah wanawake hawa akil zao
 
Kuna na wanaume wenye hii tabia in short wanachefua
Mwanaume ananunaga ukimu entertain ila akikutana na chuma kamili hawezi kuleta utoto πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!! Pole huyo ni mamaz boy
 
Mama mbona analeta mapepe sasa siku zote anawahudumia πŸ˜†πŸ˜„πŸ˜„ haoni kama anakutaka ila siku ambayo hajakuuliza kinywaji,,,likely alikuwa off mood ndio manzi yako anamaindi loh!!!
 
[emoji3][emoji3][emoji3]akinuna una mwacha ka alivo na naendelea na mengine, mtoto wa kiume kununa haipendezi.
Bwege nazi huyo! Kununa anune mwanamke na dawa yake inakuwa mkwaju tu hadi achekeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Atleast u can make some jokes na GF wako, wengine makauzu una make some jokes anakuwa kama anaona gogo tu au bango barabarani! Kwann mwanamke asinune ssa, anakuwa bored kwakweli. Uchangamfu muhimu sana kwenye mahusiano na mmoja wenu anawezajitahd kuchangamsha mahusiano had akachoka maana hakuna anachopalilia kabisa, uchangamfu wake hauna support.
 
Hahaaaa, abiria kachunga mzigo wake ipasavyo
 
Wala usiwe na wasiwasi. Ni kuchokana tu kwa sababu ya kukaa pamoja muda mrefu. Inatokea katika familia nyingi. Hata kwa upande wa wanaume.
 
Mama mbona analeta mapepe sasa siku zote anawahudumia [emoji38][emoji1][emoji1] haoni kama anakutaka ila siku ambayo hajakuuliza kinywaji,,,likely alikuwa off mood ndio manzi yako anamaindi loh!!!
Hahahah..ndo wanawake zetu hawa..
 
Chunguza simu yake, majibu yapo humo
Unaweza jisumbua na simu yake kumbe walaa. Hivi ujue yale maudhi yenu madogo madogo na makubwa kama ya kucheat huwa mnafikiri tunasamehe eeh? Sasa hayo ndio huwa matokeo yake, unakuta mtu ulimpenda ila ndio akakuletea upuuzi upendo ukaanza kupungua mwisho unaishi nae basi tu ilimradi ulee watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…