Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Kwani kasema mkewe ana chura?Ngoja aje Asprin na Carlos Jackal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kasema mkewe ana chura?Ngoja aje Asprin na Carlos Jackal
Ile kukumbatiana na ma waooh Hapana aisee!!Una wivu kinomazzz😀😀😀 ila hatujapishana sana mie mke ambaye anajifanya charming zile shobo shobo za kusalimiana na kila mjuba anafeli 😅
Hawa viumbe hawapendani wenyewe kwa wenyewe. Pia wanakuwa na urafiki fekiHyo ndo tafsir halis ya hawa ndugu zetu..unafki wa kiwango cha juu
Huwa simuelew demu wangu inapotokea tuko wote halaf akutane na rafik yake ..yaan jinsi watakavyoanza sifiana hapo..mara hee una glow tu..unapendeza jaman..sasa ngoja huyo rafik yake aondoke..utaskia...mhhh..huyu nae ndo kunenepaje hvyo...au aisee mbona mtoto wa kike yuko rafu hiv skuhiz..huwa namwangalia nacheka..utamskia..
"Niiiin"..
Mi nabak kusema..hapana mkuu sio kitu..well mi na dem wangu tunaitana "mkuu"
Alikutaka wewe uwe mume kwa sababu zake na zimeexpire, haoni nuru tena ya uvunaji tena au amekinai kwa sababu si rafiki yako wa kweli na wa kudumu maisha yenu, unless iwe ni seasonal mnapokuwa na ugomvi ndani otherwise huyo kashaona alibugi hana cha kupotezaYaani iko hivi
Ukiwa na mke wako mkiwa wawili hacheki kabisa yaani full kununiana full ukauzu. Ila sasa wakiwepo washkaji na marafiki zako wa wa kazini au hata mtaani unakuta tabasamu halikauki usoni mwake.
Yaani ni kucheka mwanzo mwisho. Bashasha za hapa na pale hatari yaani hadi unaona aahh.
Sasa wakuu hiki ni nini?
Imekaaje hii.
Hilo nalo neno kbsaAnawatamani hao jamaa hivyo anajilengesha
Uko vzri kamandaHiyo ndo ukisikia 'kaolewa ili mradi Tu aolewe'..
Haupo kabisa moyoni mwake....
Ni Sawa na wewe kufanya kazi huipendi mradi maisha yaende..
Good inahitaji kujua hutokea hali na nyakati zote au ni muhimuKihekima siri za ndoa hazipaswi kutolewa nje/kujulikana ovyo ovyo bila sababu maalumu.
Kila mwana ndoa anapaswa kuficha siri za ndoa yake.
Hiki kitendo cha kununiana mkiwa pekee yenu halafu mnachangamkiana mkiwa public ni mojawapo ya mbinu ya kutunza siri za ndoa.
Kuna shida mahala, mkabili atakwambia kila kituYaani iko hivi
Ukiwa na mke wako mkiwa wawili hacheki kabisa yaani full kununiana full ukauzu. Ila sasa wakiwepo washkaji na marafiki zako wa wa kazini au hata mtaani unakuta tabasamu halikauki usoni mwake.
Yaani ni kucheka mwanzo mwisho. Bashasha za hapa na pale hatari yaani hadi unaona aahh.
Sasa wakuu hiki ni nini?
Imekaaje hii.
Hapo lazima kuna kitu kinachoendelea kwenye moyo wa mwanamkeKuna shida mahala,mkabili atakwambia kila kitu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kama humsisimui acheke nini?
Hakika kabisa, hapa umenena maneno ya hekima na busara.Kihekima siri za ndoa hazipaswi kutolewa nje/kujulikana ovyo ovyo bila sababu maalumu.
Kila mwana ndoa anapaswa kuficha siri za ndoa yake.
Hiki kitendo cha kununiana mkiwa pekee yenu halafu mnachangamkiana mkiwa public ni mojawapo ya mbinu ya kutunza siri za ndoa.
Mke mzuri sana huyu, yaani anajuwa namna ya kuji-tune ili akuridhishe wewe na ujinga wako. Hivi ungejisikiaje wanakuja marafiki zako halafu mkeo anawachunia? Nakuambia nenda kwa mkeo sasa hivi ukamuombe msamaha haraka sana la sivyo nakuja kumchukua awe wangu.Yaani iko hivi
Ukiwa na mke wako mkiwa wawili hacheki kabisa yaani full kununiana full ukauzu. Ila sasa wakiwepo washkaji na marafiki zako wa wa kazini au hata mtaani unakuta tabasamu halikauki usoni mwake.
Yaani ni kucheka mwanzo mwisho. Bashasha za hapa na pale hatari yaani hadi unaona aahh.
Sasa wakuu hiki ni nini?
Imekaaje hii.
Wife anaficha siri ya ndani.Mku mzuri sana huyu, yaani anajuwa namna ya Fuji-tune ili akuridhishe wewe na ujinga wako. Hivi ungejisikiaje wanakuja marafiki zako halafu mkeo anawachunia? Nakuambia nenda kwa mkeo sasa hivi ukamuombe msamaha haraka sana la sivyo nakuja kumchukua awe wangu.
Mtaftie mwanamke mwenzake umurushe roho kidogo