Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Tuzee twingine ni tuchawi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Balaa lao zito
Huyu atakuwa mchaga. Ndivyo wengi walivyo. Wanatiana kama mbuzi na kuku hawa. Ni laana kiasi gani. Ningekuwa wewe ningemtokea uso kwa uso na akizidi namtia adabu.Mke wangu alifiwa na wazazi wake wote wawili kwa ukimwi mkali ule wa zamani, hivyo akalelewa na baba yake mdogo tangu akiwa na miaka 8, darasa la pil...
Bora waondoke tu warudi kwao, wàzee wengine ñi mawakala wa kuzimuHuyu atakuwa mchaga. Ndivyo wengi walivyo. Wanatiana kama mbuzi na kuku hawa. Ni laana kiasi gani. Ningekuwa wewe ningemtokea uso kwa uso na akizidi namtia adabu.
Mke wangu alifiwa na wazazi wake wote wawili kwa ukimwi mkali ule wa zamani, hivyo akalelewa na baba yake mdogo tangu akiwa na miaka 8, darasa la pili...
Kweli aiseeKuna watu wa DNA za mbwa
Tuko ndani ya basi tayari, acha turudi kwetuBora waondoke tu warudi kwao, wàzee wengine ñi mawakala wa kuzimu
Aisee ungemtandika bonge la nguvuMke wangu alifiwa na wazazi wake wote wawili kwa ukimwi mkali ule wa zamani, hivyo akalelewa na baba yake mdogo tangu akiwa na miaka 8, darasa la pil...
And you let it go just like that...Jinsi huyo baba mdogo alivyo mchawi, akawa amemwita wife chumbani kwake mida ya saa nne. Wife alipoenda akawa anamlazimisha amlale, kwenye purukushani wife akapiga kelele.
Linaweza kuwa kabila gani hili lisi na haya!!?Mijitu ya hovyo, hata usingeenda huko na wewe ukifa atamuoa mkeo
Daaah usiniambie umemuacha huyo mkwe hivihivi, mkuu ungempa votasa vya kutosha huyo hafai kwenye jamiiMke wangu alifiwa na wazazi wake wote wawili kwa ukimwi mkali ule wa zamani, hivyo akalelewa na baba yake mdogo tangu akiwa na miaka 8, darasa la pili.
Wife alipofika darasa la saba alibakwa na baba yake mdogo huyo aliyekuwa anamlea na kumtishia kuwa akisema atamuua.
Uzuri wife akawa amefaulu na kuchaguliwa shule ya bweni. Mkoa aliochaguliwa kulikuwa na shangazi yake ambaye ni aliajiriwa kama mwalimu wa shule ya msingi, hivyo likizo zote zilimalizokia kwa shangazi hadi anamaliza kidato cha nne.
Kipindi cha kusubiri majibu shangazi akawa anamsisitiza kwamba aende kusalimia kwa baba mdogo, ndipo wife akamweleza yote aliyofanyiwa na baba mdogo. Shañazi akaelewa.
Majibu yakatoka wife akachaguliwa kujiunga na shule ya bweni mkoa mwingine ambapo hakuwa na ndugu. Alisoma kwenye mazingira magumu sana.
Kwa kufupisha habari, huyu baba mdogo amefiwa na mkewe na tumezika leo. Jinsi huyo baba mdogo alivyo mchawi, akawa amemwita wife chumbani kwake mida ya saa nne. Wife alipoenda akawa anamlazimisha amlale, kwenye purukushani wife akapiga kelele.
Kwa kweli baba mdogo katia aibu sana.
Kesho tunarudi zetu Dar
Haiwezekani aiseeUongo
Ongea kiswahili fasahaLinaweza kuwa kabila gani hili lisi na haya!!?
Heh!! 😳😳Ongea kiswahili fasaha