Mke wangu alibakwa na baba yake mdogo aliyekuwa anamlea akiwa na miaka 13, leo ukweni akataka arudie tena!

Mke wangu alifiwa na wazazi wake wote wawili kwa ukimwi mkali ule wa zamani, hivyo akalelewa na baba yake mdogo tangu akiwa na miaka 8, darasa la pil...
Huyu atakuwa mchaga. Ndivyo wengi walivyo. Wanatiana kama mbuzi na kuku hawa. Ni laana kiasi gani. Ningekuwa wewe ningemtokea uso kwa uso na akizidi namtia adabu.
 
Kuna mtu anaweza kukataa hili kwa sababu zake tu za kuishi katika maisha ambayo hakutani 'na watu ambao wanaweza kusema vitu kamanda hivi kwake!
Ukiwa mwalimu ukawa mwenye karama ya kusikiliza watoto utajua mengi 'na ya ajabu yatokeayo huko duniani!Kuna vitu humu vinaonekana kamanda hadithi kila uhalisia waje upo na unaishi wala hauwezi kuisha leo wala kesho!
Watoto wa kike wanapita katika changamoto kubwa sana mpaka wanakuja kuitwa mama.
Tuwaombee
 
Daaah usiniambie umemuacha huyo mkwe hivihivi, mkuu ungempa votasa vya kutosha huyo hafai kwenye jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…