Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
we nitakupa bureMkuu akiendelea kukupanda kichwani nikodishie nipo Kanda ya Ziwa huku
Sawa mkuu huyo dawa yake ndgo tu.we nitakupa bure
AiseeSawa mkuu huyo dawa yake ndgo tu.
Kwanza kashakusoma na amekuelewa ulivyo Nje ndani Sasa Hivi ameanza kutest mitambo tu. Shikilia hapohapo kama njau njau.
Ukilegeza imekula kwako anahamia level nyingine
Hatari we jamaa banaSamaki mkunje angali mbichi.
Akiendelea mpe talaka then urudi enzi zako za punyeto.
Naanza kuikubali hiitulishasema
NDOA NI UTAPELI
KATAA NDOA
#ponda mali kufa kwaja
Mkuu niko seriousKwanza kuoa siku hzi ni Luxury, asikuletee mambo ya kina Mwajuma ndala ndefu.
kumpa simu siyo shida shida anataka awe anachukua na kusearch muda wowoteSidhani kama hilo ni suala la ugomvi mpe simu mzee tafuta namna ya kuficha uzinzi wako ili akikukosa kwenye simu ahamie kukupangia muda wa kurudi home
Hata hio nayo sio shida labda amehisi kitu chochote pengine hata mkiwa wote wewe upo bize na simu mpe muda wako onesha kumjali yeye badala ya kua bize na simu muda wote hii itakuongezea kitukumpa simu siyo shida shida anataka awe anachukua na kusearch muda wowote
Uzi ufungweSidhani kama hilo ni suala la ugomvi mpe simu mzee tafuta namna ya kuficha uzinzi wako ili akikukosa kwenye simu ahamie kukupangia muda wa kurudi home
InterestingYaan nimegundua mwanamke hata kama hakuna Tatizo atatengeneza tatizo!
Hiyo ni dalili mbaya kuna uwezekano mkubwa anakucheat hivyo anadhani na wewe unafanya hivyo,mfuatilie na yeye alafu ulete mrejesho hapa JF.Mkuu niko serious
Kwani ni simu yake hiyo? Khaa, hivi inakuwaje unakagua simu ya mtu mwingine? Mimi sina habari na simu yake.kumpa simu siyo shida shida anataka awe anachukua na kusearch muda wowote