Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Wakuu,
Hapo nyuma mke wangu alikua hajanizoea ye mwenyewe amekiri kwamba alikua ananiogopa. Kwa upande wangu ilikua burudan ananiheshimu naongea mara moja ananisikia.
Sasa miezi kadhaa naona amenizoea ananipanda kichwani. Tunabishana ukiongea kitu mnazozana. Baada kuona sina mambo mengi sasa ugomvi wake upo kwene simu.
Mimi nilimkataza asshike simu yangu saizi ndio ugomvi ulipo.mwanzo alikua anachukua maagizo bila maswali saizi home hakukaliki anataka simu yangu. Tena siyo tu kuangalia mara moja anataka awe anaichukua akitaka na kuangalia anachotaka. Sasa naona kama kutakua na shida kubwa huko mbele.
Yaani nimegundua mwanamke hata kama hakuna tatizo atatengeneza tatizo!