Mke wangu ameanza kuwa bonge namimi sipendi mabonge

Huenda mwenyewe anasifiwa na bisheste wake so be proud or die trying
 
Nishamwambia hata yeye hajui afanyeje maana kama ni kula sio sana anaweza kula mara moja tu mchana akalala
kubali kuwa ni mabadiliko ya mwili.
anatumia njia za uzazi wa mpango labda.
amepata mtoto
ujauzito

Ila utafika muda utajishangaa jinsi ambavyo huna kazi na wembamba wala unene wake.
Mungu akusaidie ufike hapo!
 
sasa unashangaa nini?
Yani awe na mtoto asibadilike umbile?
Ila wanaume wengine mu wabinafsiiii!
Sio ubinafsi kwanini kitu apendacho mtu kiwe ubinafsi vizuri ni vipi kuficha ukweli mwisho wa siku nimchiti na vipotabo ninavyoviona na wengi kati ya vipotabo hivyo wana watoto
 
Huenda mwenyewe anasifiwa na bisheste wake so be proud or die trying
Hao wanaomsifu mimi hawanihusu kila shetani na mbuyu wake uzuri wake nampenda na anainjoy hiyo yenyewe kumwambia apunguze mwili ni kimahaba zaidi hadi mwenyewe anacheka tatizo ni hapungui as days go
 
Mkabidhi Sheikh Kipozeo
 
Mm mke wangu ni kimbaumbau hadi nimemchoka natamani anenepe aisee
 
Sio ubinafsi kwanini kitu apendacho mtu kiwe ubinafsi vizuri ni vipi kuficha ukweli mwisho wa siku nimchiti na vipotabo ninavyoviona na wengi kati ya vipotabo hivyo wana watoto
All the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…